@t_mabasi Nitapunguza kasi ya gari langu,kubana kulia zaidi na ikiwezekana nitabadili uelekeo wa gari langu Nb:coz hiyo road ni keep right na siyo keep left.
@t_mabasi @kevkigos 1: CEO wa group 2:kwa wanazi wote ambao hatufahamiani ila tunaenjoy life 3:kwa madereva wote walionisapot toka 2007 mpk hapa nilipo 4:kwa Mohamed shoo meneja machame inv dar kwa malezi 5: kwa air born city,mtei, kinanda,machame inv,Katarama luxury na simba platnum nawshukuru sana
@TBoundBuses Mhhhh! Manake hapo kwanza https://t.co/umoW6xcMEO za Tanzania ni engine mbele wakati asili ya coach lazima engine iwe nyuma na isisafiri umbali mrefu mfano mzuri wa coach ni mwendokasi.