Kwenye #HolyDay ndani ya #TheSpirit Jumapili hii tutakuwa na Mtumishi wa Mungu @fredkimiti ambaye atakupa somo kuhusu Kanuni 5 zitakazopelekea uweze kupokea Baraka na Mafanikio kutoka kwa Mungu.
Jumapili hii #TheSpirit imepata baraka kutoka kwa Mwimbaji wa nyimbo za Injili @Bedaandrew4 ambaye kuna mengi ameyazungumza ambayo hupaswi kuyakosa.
#TheSpirit ni jumapili saa 3:00 asubuhi ndani ya #STBongoTV kupitia kisimbuzi chaย @startimestzย CH 161 (antena) CH 401 (Dish) m
Safari hii ni Mapozi tu warembo kwa @mrbluebyser1988 kwenye stage ya Mr Righ
#HelloMrRightShow6 ni jumamosi hii na kila jumamosi saa 4:00 usiku hapa @stbongotv kupitia @startimestz CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
Rais wa Tanzania Dkt Samia akisaini kitabu mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) kwa ajili ya kufunga Mkutano Mkuu wa Maafisa Wakuu Waandamizi wa Jeshi la Polisi pamoja na maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo Moshi Mkoani Kilimanjaro 17/9/2024.
Gwaride la heshima lililoandaliwa na Jeshi la Polisi Tanzania likipita mbele ya Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Tanzania Dkt Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo yaliyofanyika katika Shule ya Polisi Tanzania (TPS), Moshi- Kilimanjaro leo Septemba, 2024.
Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ashiriki kwenye kilele cha Maadhimisho ya Miaka 60 ya Jeshi la Polisi la Tanzania, Moshi Mkoani Kilimanjaro, leo Septemba 17 2024.
Cc; @SuluhuSamia@ikulumawasliano#STBongoUPDATES#NyumbaniKwanza
Mwimbaji wa Gospel @obbyalpha akieleza kihusu moja ya changamoto aliyowahi kupitia baada ya kujilazimisha kuhudhuria mwaliko ambao wakati akiimba alikuwa akirushiwa chupa za pombe kutoka kwa wageni waliokuwa wamehudhuria.
#TheSpiritSTBongo#NyumbaniKwanza
Obby Alpha anaeeleza safari yake ya kwanza kwenda kufanya event baada ya wimbo wake wa 'Bora Kushukuru' kutoka na kufanya vizuri.
#TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @StarTimesTZ CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
"Mara nyingi mimi nikiimba nyimbo nimekuwa nikiimba nyimbo kutokana na namna Mungu ananipitisha kwenye maisha yangu" Obby Alpha
#TheSpirit inaruka hewani kila jumapili saa 3 asubuhi kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @StarTimesTZ CH 161 (antena) CH 401 (Dish).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewaasa Watanzania kuishi kwa kuvumiliana, kuheshimiana na kupendana kama ilivyoagizwa na vitabu vya Mungu.
Dkt. Biteko amesema hayo leo Septemba 15, 2024 katika Kongamano la Tano la Ekaristi Takatifu Kitaifa
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akifurahia jambo na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ndugu Tundu Lissu, wakati akimsaidia kushuka ngazi kutoka jukwaani, kwenye kilele cha Kongamano la Tano la Ekaristi
Majibu ya mwimbaji wa nyimbo za Injili Gwamaka Mwakalinga kuhusu namna walivyojipanga kuufunga mwaka 2024.
#TheSpirit ipo hewani muda huu kupitia #STBongoTV ndani ya kisimbuzi cha @StarTimesTZ CH 161 (antena) CH 401 (Dish) pamoja na kwenye YouTube channel yetu ya #STBongoTV
Rapa wa Marekani @RichHomieQuan ) ameripotiwa kuwa amefariki dunia huku kwa mujibu wa chanzo ambacho hakijathibitishwa rasmi kikidai kuwa ni baada ya kuzidisha dawa za kulevya akiwa nyumbani kwake Atlanta.
#STBongoUPDATES#RipRichHomieQuan๐๐พ