Top Tweets for #STBongoTV
Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa John Heche asimulia manyanyaso na mateso wanayopitia kipindi cha uchaguzi mkuu ambayo amedai ufanywa na Chama cha Mapinduzi dhidi yao.
Ameeleza hayo alipokuwa akifanya mahojiano na kipindi cha Tv. Credit to #stbongotv
"Mchungaji utakiwi kula sadaka zote" ni maneno ya @ProphetIpm akiwa katika kipindi cha #TheSpirit katika kituo cha #STBongoTV
Nabii IPM ameelezea stori yake nzima hadi yeye kutoka kwenye dini ya uislamu hadi kuwa nabii na kutokewa na Malaika.
"Nilitengwa na Familia, Walitaka kuniteka na kuniua nilikimbilia Mombasa Kenya" @prophetipm
Chanzo : #TheSpirit ya #STBongoTV
"Mimi naahidi wiki ijayo nitawaandalia wanasheria mje muongee nao katika kipindi Cha #TheBantu #Startimes @startimesbongo kama ni bandarini au studio tutawasiliana" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongoTV
"Hivi tunavozungumza muda huu baadhi ya meli zimekataa kuja bandari ya Dar-Es-Salaam, sababu ya kusubiri muda mrefu, tunapoteza biashara" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongoTv
"Huwezi kumpa mtu mkataba wa bandari ya Dar-Es-Salaam halafu mkataba huo haumuunganishi na bandari ya Mwanza au bandari ya Mtwara" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongoTv
"Hatujaingia mikataba ya utekelezaji bali kwa sasa tuna mkataba wa ushirikiano kati ya serikali ya Tanzania na serikali ya Dubai katika uendeshaji wa bandari, Sasa hivi tupo katika hatua ya mabadilishano ya nyaraka" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongotv
"Kila meli inayosubiri kuingia bandarini tunapigwa faini ya zaidi Milioni 60 za kitanzania" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongotv
"Muheshimiwa Raisi hataki kuendelea kuwa na bandari isiyo na ufanisi" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongotv
"Hakuna bandari wala nchi iliyouzwa, ila serikali kwa kutambua mapungufu tuliyonayo katika sekta ya bandari serikali imeamua kutafuta muwekezaji kuboresha utendaji" @MsigwaGerson #TheBantu #StBongoTv
Mechi ya Jumamosi @championship_tz na
utashuhudia mechi hii mubashara kupitia chaneli ya @stbongotv .
🚨Kitayosce Nyumbani Dhidi ya African Sports...Usikose.🔥
Cc @tanfootball @tplboard
#startimesports #gameon #Tv3Tanzania #stbongotv #championshiptzonstartimes #sokaafrika

Last Seen Hashtags on Sotwe
原味棉袜
Seen from United States
wedgiegirl
Seen from United Kingdom
3p
Seen from United States
incest tamil
Seen from Brazil
bop
Seen from Poland
설강화지수
Seen from United States
minichat filter:videos
Seen from Pakistan
tudungbogel
Seen from Malaysia
snapchat
Seen from United States
弹力插
Seen from United States
Most Popular Users

Elon Musk 
@elonmusk
241.5M followers

Barack Obama 
@barackobama
118.8M followers

Cristiano Ronaldo 
@cristiano
114.5M followers

Donald J. Trump 
@realdonaldtrump
111.9M followers

Narendra Modi 
@narendramodi
107.1M followers

Rihanna 
@rihanna
98.7M followers

NASA 
@nasa
92.3M followers

Justin Bieber 
@justinbieber
91.8M followers

KATY PERRY 
@katyperry
90M followers

Taylor Swift 
@taylorswift13
84M followers

Lady Gaga 
@ladygaga
75.5M followers

Virat Kohli 
@imvkohli
73.4M followers

Kim Kardashian 
@kimkardashian
70.8M followers

YouTube 
@youtube
68.8M followers

Neymar Jr 
@neymarjr
66.4M followers

Bill Gates 
@billgates
65.2M followers

Selena Gomez 
@selenagomez
63.1M followers

The Ellen Show
@theellenshow
62.2M followers

CNN 
@cnn
61.7M followers

X 
@x
60.7M followers



