@georgediano Here in Tanzania this "WALALA HOI" President J. P. Magufuli would have referred to these people as โWanyonge,โ meaning ordinary people living in conditions of extreme poverty and hardship.๐คฃ๐คฃ,so mlala hoi literally means MNYONGE
@KemiBadenoch A boy was expelled from school. Are you still pleased about this? Your BBC interview suggests that you may lack confidence in your perspective and seem overly eager to appeal to Europeans, potentially at the expense of your Nigerian and African identity.
Funzo la kimaadili kwa wanaume:
Kama una mpango wa kuoa na kuwa na familia, furahia hilo, lakini hakikisha unajilinda kwa kushauriana na mwanasheria mzuri wa familia.
Kabla ya ndoa, zungumza vizuri na mwanasheria wako kuhusu uwekezaji wako.
โUsisahau kuretweet.
Kutokuingia kwenye kitabu cha majina cha simu ya mteja (Phone book),hifadhi ya picha, orodha ya kupiga na kupigiwa (phone log).โ๏ธ๐ฒ๐ผ๏ธ๐ธ
4.Kutokutuma/kuanika taarifa binafsi za mteja kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kumdhalilisha mteja mfano picha zako, kitambulisho chako.
Chini ya Muongozo huu kwenye Fungu la 5.0 watoa huduma wanakatazwa:
1. Kutoa taarifa binafsi za mteja kwa mtu mwingine au taasisi iliyopo nje ya Tanzania. ๐ต๐ต
2. Kutokutumia Lugha za vitisho au fujo au matusi wakati wa ukusanyaji wa madeni. ๐
MUONGOZO KWA MAKAMPUNI YANAYO KOPESHA PESA KIDIGITALI.
BENKI KUU YA TANZANIA @bankoftanzania_ imetoa mwongozo kwa Makampuni Yanayotoa huduma za ukopeshaji kwenye majukwa ya Kidijitali (Online) (GUIDANCE NOTE ON DIGITAL LENDERS UNDER TIER 2 MICROFINANCE
SERVICE PROVIDERS 2024.
@ImtiazMadmood The invaders (Arabs) invaded villages, arrest villager's then they tie their legs by using steal chain in long caravans up to market places. The wounded, the sick and elderly slaves were killed as they were considered not suitable for trading purposes.
@ImtiazMadmood 25,000-50,000 Africans were collected from different tribes in different places of the country and they were sold in a cheaper price. This innocent people were taken mainly in Oman and some other Arab countries to work in plantation and some other manual works๐