@kasesco_tz Mke wa Cain alikuwa anaitwa Awan au Avan ambaye pia ni mtoto wa Adam na Eva, kwahiyo Cain alimuoa dada yake wa Damu Moja hii ni kwa Mujibu wa Kitabu Cha Jubilee
Kutokudai riba kabla ya Tarehe ya malipo ya mkopo kufika.๐ฅ
6. katazo la kumweka mtu kama mdhamini wa mkopo pasipo kwanza Kupata ridhaa kutoka kwa mtu huyo.
NINI MAONI YAKO??
MUONGOZO KWA MAKAMPUNI YANAYO KOPESHA PESA KIDIGITALI.
BENKI KUU YA TANZANIA @bankoftanzania_ imetoa mwongozo kwa Makampuni Yanayotoa huduma za ukopeshaji kwenye majukwa ya Kidijitali (Online) (GUIDANCE NOTE ON DIGITAL LENDERS UNDER TIER 2 MICROFINANCE
SERVICE PROVIDERS 2024.
Chini ya Muongozo huu kwenye Fungu la 5.0 watoa huduma wanakatazwa:
1. Kutoa taarifa binafsi za mteja kwa mtu mwingine au taasisi iliyopo nje ya Tanzania. ๐ต๐ต
2. Kutokutumia Lugha za vitisho au fujo au matusi wakati wa ukusanyaji wa madeni. ๐
Kutokuingia kwenye kitabu cha majina cha simu ya mteja (Phone book),hifadhi ya picha, orodha ya kupiga na kupigiwa (phone log).โ๏ธ๐ฒ๐ผ๏ธ๐ธ
4.Kutokutuma/kuanika taarifa binafsi za mteja kwenye mitandao ya kijamii kwa nia ya kumdhalilisha mteja mfano picha zako, kitambulisho chako.