@fbuyobe WanaHarakati wanataka kila mtu akubaliane na kila wanachofikiria. Hii sio sawa.
Kwa capacity ya Lissu, salam za pole ni za lazima na zinapaswa kufanya kuwa za 'Dhati' hata kama hakumaanisha. ltaleta image njema kwa chama kama taasisi.
@JangoBist Kama wao tu wanavoongea kiswahili kibovu mbele yetu. Tusiwe washamba wa lugha. Wakati nasomea linguist tulifundishwa kwamba "No language is superior than others...
@HabariDigital_ Kuna aliyesikia hoja ya ushoga kwenye mjadala wa Jana?
Hawa wabunge wetu kuna kitu wanaficha. Huu ushoga wanaoukataa wanautoa kwenye angle ipi?