@DanyeMufasa kama tu mechi za SIMBA NA YANGA za kimataifa juzi walikua hawaoneshi marudio ya magoli wala matukio muhimu kama dakika za nyongeza EPL wataweza๐คฃ๐คฃ๐คฃ
@NizerDulla@chapo255 wale watakaokutwa hai siku ya kiama watakua wamepataje adhabu ya kaburi??? yule alikufa karne ya kwanza na yule atakaekufa siku moja kabla ya kiama watakua wamepata adhabu sawa za kaburi au kuna upendeleo??? kwanini mitume wote tangu dunia imeanza wametoka sehemu fulani tu???