UCHAGUZI 29 OKTOBA. Ee Mungu Tunawaombea marehemu wetu raha ya milele. Tuwazike kwa heshima, kuwafariji wafiwa, kuuguza majeruhi, kusaidia waathirika. Tuombe toba kuondosha sifa za taifa letu kwa kutotambua HAKI ndiyo msingi wa yote na haina mbadala. Twakuomba utusikie
@VodacomTanzania Mmeanza Michezo Yenu Ya Kuibia Wateja
Ndugu mteja, umejiunga na huduma ya SIMBA MASTORI bure kwa siku 1, siku ya 2 utaanza kutozwa sh 100 kwa siku. Piga 0900010000 kusikiliza story za simba uweze kuijua club hii na kujifunza. Kujitoa tuma ONDOA kwenda 15092
@Haloteltz@Haloteltz Rekebisheni Kitengo Cha Technical wire Unakatika Kwa Vile Mteja Ameshalipa Unamjibu Tu Utapata Huduma Ndani Ya 48hrs Fundi Anakuambia Wire za Fibrę zimeisha Hajui Zitakuja Lini Yaani Hamko Seriously kabisaa Ngoja Nijirudie Zangu Voda
@Kaka Nakushauri Ni Bora Kukaaa Kimya Upe Muda Nafasi Huo Sio Wakati Wenu Tena Wa Tz wa Leo Sio Wa Jana Anajua Mbivu Na Mbichi Halima Mdee Alikuwa Mjanja Sana Kukaaa Kimyaa Kwenye Mitandaoni Unazidi Kujichimbia Kaburi Bila Kujua Hata Chadema Ikifa Leo Kitakuja Chama Kingine Imara Na Bora Cha Kimapinduzi :
Mfano Je Watanzania Wataenda Kupiga Kura ? Unajua Kama Watu Wengi Hawakujisumbua Kujiandikisha Kupiga kura ?
@TTCLCorporation Shirika La Hovyo Sana Nimejaza Form Ya Fibre Miezi Inakata Bila Huduma Nimeenda Halotel Ndani Ya Week Nimefungiwa Home And Office Fibre Faster
@NyandaAmosi Ni Kweli Unatakiwa Kununua Mwenyewe Je Unanua Wapi Na Ubora Unaujua? Fake Ni Ipi Org ni Ipi Hapa Ndio Kwenye Shida Kubwa Hata Mafundi Huwa Wanapigwa Na Engine Ya Gari Kufa Sometime Wala Sio Oil Au Filter Ingawa Ndio Sababu Kubwa .
@FedEx Please Check With Your Agent In Tanzania There Are Too Slowly Regarding Parcel Clearance And Delivery
It Take More Than 20 Days For Clearance process To Complete 771763763801😭😭😭😭😭
@Eng_Matarra Biashara Zingekuwa Hivi hakuna Ambaye Asingetoboa Hapo Umezungumzia Fursa Bila Changamoto Zake Je Changamoto za Hizo Biashara Ni Zipi Na Unawezaje Kuzishinda Ili Kuzalisha Hyo Faida ?
@CloudsMediaLive Kuna Wakati Muda Upe Nafasi ,Mzee Ni Wakati Wako Wa Kupumzika Hakuna Kijana Anaweza Kukuelewa .
Una Hoja Nzuri Lakini Muda Sio Rafiki Kwako Tena.
Tulimpa Zawadi ya Box tupu rafiki yetu @chimbuti kwenye Harusi yake. Alifedheheka sana,alikuwa anaona aibu kuonyesha Box tupu mbele za watu,niliona machozi yakimlengalenga.
Lengo lilikuwa kumkumbusha tu kwamba, asitegemee sana kutoka kwa binadamu,atende wema bila kusubiri malipo.