@TRATanzania Mnatutengenezea mazingira magumu wapangaji shida sio iyo kodi shida ni matokeo mnayoyatengeneza kwa watz nyumba inalipiwa kila mwezi na sisi wenyew kwa kupitia umeme afu pia tunaanza kulipa tena ela nyingne kila mwez daaah tutafika tumechoka sana mtatua nyie