@IAMartin_ Agenda ya Umma!! Upi huo? Mapoyoyo msiojua mbinu mbadala.
Andaaeni kikosi maalum kikasome π¨πΊ kwanza nyie mmeshindwa na mambo yenu ya kukurupuka. Mmeshindwa tayari shenzy type
@TanzaniaLeaks Mtanyooka tu, lakini kwa bahati mbaya mnanyooshwa wakati mshakauka hivyo kuna hatari ya kuja kuvunjika...
Shenzy type...ubaya wenu matusi, kamdomo kamewaponza!!!
@TanzaniaLeaks Yaani wewe ni kumaku mno...duh!!! Unataka kulisha sumu watu waanze kuchukia wenzao bure, unataka kuleta tabaka la dini na mgawanyiko wa wananchi baina ya visiwani na bara. Ole wako....shenzy type!!
@Mashibe_Jr Wacha ipuuzi huu kwa kuongopea watu.
Aliyepiga magoti siyo HH bali ni Michael Katambo aliyewai kuwa waziri wa Uvuvi kipindi cha ECL...
Shenzy type
@TanzaniaLeaks Watz wapo makini sana, kama ujajijua wewe @TanzaniaLeaks ni wa hovyo rejea kusoma huu ujembe wako wa X.
Utagundua kuwa umewashindwa kwa Bongo unaomba kwa wengine. Wabongo hawadanganyiki kwani wanatumia ubongo kufikiria na sio moyo. Shenzy type
@TanzaniaLeaks Always nasema #tanzanialeaks hamjawai kuwa na akili, hivi kabla ya kuandika upuuzi wenu uwa mnafikiria?
Sio kila asomae ni zuzu wa ufipa utawadanganya familia yako na sio wenye akili.
@KatibaMpyaTz_ #Lema haujawai kutumia akili kwa japo 40% katika kusema mambo umu X, wacha kutumia moyo utakupoteza, uache moyo usukume damu...tumia ubongo kufikiria!
@EduTalkTz Uwe na maneno yaliyofikiriwa na kupangwa kutoka kwa fikra za ubongo, usitumie moyo kwa kutaka kujionyesha mitandaoni! Tumia uhuru wako kwa stara bila kuvuka mipaka.
@lifeofmshaba Ndugu yangu, usivuke mstari wa uhuru wa kujielezea.. baki kwenye mstari sahihi.
Tambua kwa sasa yeye bado ni mamlaka, tena mamlaka kuu ata akiwa usingizini.