@MarekaMalili Kwanza miaka ya elfu 2 na 5 kurudi nyuma nafasi ya mkuu wa mkoa na wilaya hazikutambulika kama nafasi za kisiasa kwa wananchi waliitwa wawakilishi wa raisi
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa wito kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) na mamlaka zote zinazohusika na mchakato wa uchaguzi kuhakikisha kuwa wanatenda haki katika kila hatua ya uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.
Mhubiri na mwimbaji wa nyimbo za injili, Elisha Juma, ametekwa na watu wenye silaha waliomfuata wakiwa na Landcruiser nyeupe mnamo Agosti 19, 2025.
Shuhuda wa tukio hilo anaeleza kuwa mmoja wa watekaji hao, kijana wa takribani miaka 20, alifika studio ambapo mhubiri huyo hurekodi nyimbo zake, akijifanya kuwa ni msanii wa Hip hop.
Baada ya Elisha kufika, wengine wawili walifika na Landcruiser na kumchukua na kutokomea naye toka Agosti 19, 2025.
Elisha ni mhubiri wa dini ya Kikristo maeneo ya kanda ya ziwa, hivi karibuni amepata umaarufu katika mitandao kupitia nyimbo zake za kiharakati ikiwemo wimbo wa ‘Wajinga ndio watatiki’.
“Kiongozi Wa Siasa Anayesema CHADEMA Ife Huo Ni Uchawi, Chadema Haiwezi Kufa Ipo Mioyoni Mwa Watanzania Kama Zilivyo DINI”
JOSEPH SELASINI Makamu Mwenyekiti NCCR Mageuzi Na Mbunge Mstaafu Wa Rombo
Mpeni RT 300🤝