Kwanini watu walio wengi, wanapopendwa huwa hawapendwi km wao walivyopenda? Alafu wasipopapenda huwa wanapendwa sana kuliko.....
MAPENZI HISIA ZA KWELI😎
TIPPING POINT yangu wala sio usiku walipiga ofisi yangu mabomu. Tipping Point ilikuwa tarehe 7/09/2017. Walivyompiga risasi TL. WOTE wakaufyata kama vile hakunatokea kitu. Nikajiukiza ni watu aina gan wanaogopa kulani ATTEMPTED MURDER? Nikajuwa ni watu morally BANKRUPT. HAWAFAI!
IGP SIRRO: ALIYEMPIGA LISSU RISASI BADO HAJAFAHAMIKA
- Amesema wanasubiri Lissu aje afungue kesi ili wajue kitu gani kimemtokea katika mazingira gani
- Amesema walipomtafuta dereva ilikuwa shida, Lissu mwenyewe wanamuona tu kwenye mtandao
Soma https://t.co/TUkBP3r7iT
#JFLeo
'.Kama Msanii Unangangania Kuimba Siasa Na Kukosoa Serikali Basi Amua Kuachana Na Mziki Uanzishe Chama Cha Siasa. Haiingii Akilini Nina Shahada Nne Alafu Msanii Ambaye Hata Shule Hajaenda Anatunga Nyimbo Za Kunikosoa.'- Harrison Mwakyembe (Waziri Wa Habari, Sanaa Na Michezo)
Mh Waziri H. Mwakyembe, ugonile...
Sikubaliani na kauli yako kuwa mpaka mtu awe na ELIMU ndio aweze kufanya SANAA kwa njia ya kukosoa. Basis ya kukosoa ni MORALITY, LAWS, KATIBA, DHAMIRA, ETHICS. Sio ACADEMIC ACHIEVEMENTS
Kama mmeruhusu kusifiwa basi expect kukosolewa.
Ndaga
Msimamo ni kitu muhimu n huleta maendeleo katika maisha ya kila siku especially kwenye uwongozi embu imagine tulivyopelekwa mbio alaf tunaambiwa laini hazifungiwi ....!! Tutakuwa n msimamo lini??