@mbonimpaye_n Yule Jamaa nlimuonaga KCMC miaka hio tkisoma O- level ndo alfanya nikasema Nitakua Doctor Kama yeye... Watu kama wale walitakiwa kua MAWAZIRI-- akili kubwa
@mugishankoronko Nilikufatlia Dr Mugisha,, uligusia Maslahi ya Madakatri wa Wizara na wale chini ya Tamisemi kua equal in aspects nyingi + Sheria ya Bima ya Afya kwa wote na Mengine.. Hongera sana Mungu alinde hio Kichwa ina Madini sanaa🖐️🖐️( My insipirator)
@PascalMisili Braza Misili Usiripost Kama hjafany tafiti vizuri wanasiana Waogope sana watu Hatari, Wanaweza Post ata picha zako Ukiwa Same boyz kua ndo Uhalisia🤣🤣,, Kua na taarifa sahihi media zinaisha.
@PMadeleka Wakili Msomi Elimu kua Sawa na Pale Feza haiwezekani, sisi maskini tnaeza lipa Ada milion 7?? Kama 70 tu inatshinda Sema labda umeandika kumsfia kiunafiki🤣🤣
@EduTalkTz Braza Onesmo uchaguzi utafanyika tu, Tz tshawazoea hizi ni kelele tu, hamna watu wa hvo kuzuia,, Sisi tuzuie Tuumie na Familia zenu ziko Ulaya mnasapot ya Wazungu🤣🤣,, Tz bado sana kaka
@tonytogolani Hongera sana Mh. Balozi , unafanya kazi kubwa sana kupromote Nchi yetu... Natamani siku moja niongee na wewe kuhusu Fursa za kielimu huko🖐️🖐️