@Kimbesa11 @mdudechadematz @SuluhuSamia Yes inaezekana ilihali tu usivunje Sheria cz kama hujui hii ni njia sahh saana ambayo inamkutanisha Raisi na jamii naeza kusema ni direct way na pia anaeza kutambua mtazamo wa watu wake kwake upoje na Kama kuna umuhim kuyafanyia kazi anafanya cz wabunge t hawawez kufikishayote
@officialnasrah @cyancute @mdudechadematz @SuluhuSamia Mawazo na kila binadam ananjia zake za kufujisha ujumbe kunawengine ndo wanaruka salakasi bungeni lakn lengo lao kubwa ni kutaka ujumbe ufike japo simsupport saana jamaaa lakn you never know alitaka ujumbe usafiri Zaid na huwezi jua anazifaham haki sake kwa levle ipi ๐๐
@Kimbesa11 @mdudechadematz @SuluhuSamia Njoo na hoja mkuu cz mawazo yako mazure ndio njia sahh ya kulipeleka taifa mbele cz we ni mwalim wetu na sisi no walim wako kila mtu kwa nafasi yake.....
Ila sio kutwambia tufanye kazi wakati inajulikana kuwa ni jukum letu soteโ๏ธโ๏ธ
@Kimbesa11 @mdudechadematz @SuluhuSamia Umesoma vizuri lakn nilichokiandika jarb kuwa na desturi ya kuheshim mawazo ya mtu hatakama umeona hayana Mantic cz Soo kila conflict ya kimawazo inalengo baya hapana ...
Cz haya yote mazuri unayoyaona chanzo chake kikubwa mgongano wa kimazazo ndio maana unaona maendeleo โ๏ธโ๏ธโ๏ธโ๏ธ
@Kimbesa11 @mdudechadematz @SuluhuSamia Fanya kazi jibidiishe na Kama kunakitu unaona hakipo sawa chenye manufaa ya wengi zungumza cz inaezekana mawazo yako yakawa supper kiongozi kavutiwa nayo akayatumia
Cz apa dunian kila mtu ni mwalimu wa mwenzake na ndio maana kunauhuru wa kuzungumza so sikuona vyema kusema umbea
@officialnasrah @cyancute @mdudechadematz @SuluhuSamia Mawazo ya mtu yanayo nafasi kubwa saana ya kutiliwa manani na kuheshimiwa na sio kucrashiwa so Sion kama ni sahh kukwambia mtu kuwa anafile mirembe.........
Ispokuwa tunapaswa kuamka kifikra sio kila siku umeamka umekula umeshiba huna Cha kuifanyia nchi yako ww Kama kijana wa ๐น๐ฟ