@Rydx_017 Kuoneshesha utajiri kama hivi kwa kiongozi ni kukosa maadili ya uongozi, utajiri sio jambo la kufichika, lakini hayo mambo alipaswa kuwachia watu maarufu yeye akajikita kuwa mtu mashuhuri katika uongozi wake. Ni mtazamo wangu binafsi
@Baradhuli2 Mtazamo wangu, kwa kiongozi wa umma , anaengoza asilimia kubwa ya maskini, kuonesha utajiri wake hadharani ni ukosefu wa maadili ya kiongozi, halafu sio kweli kila anayetafuta atapa, na kila aliyekosa si kwamba ni uzembe na ujinga wake
@abusumayyah_o@HabiibYahyaa@MDigala24@Matallahkhamis@BlackWolfBeast@FKihamu@EsirEid Aliisema dini ichukuliwe irani au saudia ni nan? Dini ya uislam vyanzo vyake vikuu ni Quran na sunna, hivyo ndio vipimo, ugomvi wa madaraka baina shia na sunni mimi hanihusu kinachonihusu ni uislam, wewe umebebeshwa chuki za asili , msingi mkuu ni madaraka
@abusumayyah_o@Matallahkhamis@_zack255@EsirEid@HabiibYahyaa@MDigala24@FKihamu Hii dini kumepita historia mbaya ingawa mda mwengine tunajaribu kuificha, wachilia kutukana maswahaba waliuwana maelfu kwa maelfu na hatuna nguvu za kuwakufurisha, leo tunabeba ajenda za kisiasa katika dini, hii dini si ya kabila, nchi wala taifa fulani.
@Royaltv_plus Nimesoma comment za makamanda ikanibidi nicheke, kwakweli TZ tuna kazi kubwa ya kupeana elimu kuhusu utu / ubinadamu. Kama unahisi unamtendea wema yule tu anayekutendea wema basi hii ni jamii inayojali maslahi tu, halafu unajisifu wewe ni mwema.iko siku tutafika
@greysea16620697@MariaSTsehai Kuna mda mpk unashangaa wanaharakati, kuna mda kama mnakosa agenda muhimu mukikosa kwenye siasa mnarukia kwenye dini, wakati mnajua dini ni jambo la mtu binafsi yeye na Mungu wake, hivi hao waislamu mnaoshirikiana kwenye mambo yenu wote ni waislam safi??
@greysea16620697@MariaSTsehai Wewe kwenye hii dini ni mweupe kabisa, kwenye Qurani suala la kushikwa mikono wa kukumbatiwa halipo, hili ni suala lipo kwenye hukumu za sunna/hadithi wapo wanakubali kuwa ni kosa na ndio msimamo wa waislamu na wapo wachache wanaoona inafaa, kwa msimamo wangu mimi hilo nikosa.
@JoshuJM@Jambotv_ SUK kwenye siasa ni mafanikio makubwa sana, kumbuka ukipata moja maana yake hapo aleyepungukiwa ni mtawala, na sio lazima upate kila kitu.
@lifeofmshaba Hoja hujibiwa kwa hoja sio matusi, wanaharakati bwana , wanatushangza siku mkishika madaraka sio kila mtu ambaye ni tofauti na mawazo yenu atakuwa matatizoni, jussa ametoa hoja tena kupitia uzoefu wa znz wewe unaleta matuasi
@MariaSTsehai Ngojia tuwapeleke darasani kidogo, eda maana yake ni kipindi maalum cha kujizuia baadhi ya mambo yaliyotajwa kisheria kuyafanya kwa mwanamke aliyefiwa , miongoni mwa mambo hayo kukaa ndani sio kweli, kwa hiyo ukimuona raisi yupo nje ya nyumba yake hajavunja sheria eda
@lifeofmshaba@ACTwazalendo Bahati mbaya wanaodai democrasia, hawapendi demokrasia, ACT kwa hili wameshawatangulia na kutoa mawazo yao, badala ya kuwalamu ACT ,wanaharakati mlipaswa na nyiynyi mtoea mtazamo wenu, ila mmkaa kama wake weza kuhusu ACT, CHADEMA mnafeli sana kuhusu uvumilivu wa kisiasa