Rudi Garcia 62" This guy so funny😅
Baada ya FT kati ya Belgium Vs Egypt Rudi alikwenda direct kumpongeza Hossam Hassan kw nice game lakin alipofik akapokea malalamiko kw refa kutowapa foul ya Zizo dakik za jion ndipo alipopandisha povu na kumwambi kw vitendo #Nofoul🤌Nopenalty🤏
Wanamuita Vozinha alikulia katika Club ya Ɓatuque ya nchini Cape Verde kama kipa wa akiba no 4 alifanikiwa kucheza game yake ya kwanza baada ya makipa 2 kuumia kweny mech 1 naliingia dakik ya 33" timu yake ikiongozwa bao 2-0 na mechi kumalizika bila nyavu zake kutikiswa..