Mhe. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ
Anawasalimu kwa Jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
#KaziIendelee
๐จ The Benjamin Mkapa Stadium in Dar es Salaam is filled to the rafters!
Itโs Simba Day, and the Reds have shown up in full force to support their beloved team. โค๏ธ๐ฆ
#SimbaDay2025#NguvuMoja
Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato, jijini Dodoma leo tarehe 14 Juni, 2025. Ujenzi wa kiwanja hicho cha Msalato unahusisha njia ya kuruka na kutua ndege (Runway) jengo la abiria, jengo la kuongozea ndege pamoja na miundombinu mengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Timu ya Simba na Yanga mara baada ya mazungumzo na Viongozi hao, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
tarehe 13 Juni, 2025.
๐Dar es Salaam
VIDEO:
Rais wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina amewaongoza Wakuu wa nchi za Afrika na viongozi mbalimbali waliohudhuria mkutano wa Nishati kumwimbia wimbo wa kumtakia heri kwa siku yake ya kuzaliwa, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambayo iliadhimishwa siku ya jana
#AfricaEnergySummit
#Mission300
#Mission300AfricaEnergySummit
Heri ya kumbukizi ya Siku ya Kuzaliwa Mhe Dkt Samia suluhu @SuluhuSamia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kinara wa Diplomasia
Mwanadiplomasia Namba 1
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya Selfie na wananchi wa Mkoa wa Morogoro mara baada ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara uliofanyika katika viwanja vya Jamhuri Morogoro tarehe 6 Agosti, 2024.
Hongera Simba na Wanasimba kwa kufanikisha Simba Day 2024. Nawatakia kila la kheri katika msimu mpya wa Ligi Kuu. Waswahili wanasema, yaliyopita si ndwele.
HAPPY SIMBA DAY
Mnajua mimi sio mwanasimba; Lakini buana,
1) Simba wameasisi hii mambo ya Matamasha ya Vilabu- hili ni jambo zuri.
2) Wameset viwango vya mechi na mafanikio Kimataifa na Mimi ni Shabiki wa SIMBA ya Kimataifa.
3) Simba haipati tabu kujaza uwanja iwe tamasha au mechi ya kimataifa.
USIMCHUKIE MTU KWA KUFANIKIWA.
SIMBA NGUVU MOYA!!!!!
Heri ya Siku ya Lugha ya #Kiswahili Duniani!
Kiswahili kinazungumzwa na watu milioni 230+ duniani kote, na ni fursa kubwa katika ulimwengu wa kidijitali.
https://t.co/sp8OEWBjYz
It is great to see my dear sister, Her Excellency President โฆ@SuluhuSamiaโฉ of the United Republic of Tanzania at the ongoing Korea-Africa Summit in Seoul. I admire your leadership. You can count on the partnership and strong support of the โฆ@AfDB_Groupโฉ.