@Baradhuli2 Naona wewe pia unaiga misemo ya magufuli, wenzio watakukataa km yule alosemwa baada ya kunihusisha na kumsifu magufuli hadharani,
Wee endelea tu Kuni inya korodani
@mananajr_ km ukienda pale raundi about ya mnaz mmoja ni eneo kubwa mno lipo open kwa anili ya mapumziko na wanafunz kuja kujisomea, ukiangalia forodham, na pia kule km unaenda makao makuu ya ccm kisiwa ndui kuna eneo kubwa mno kwa ajili ya watoto na yote yana wire za bure, hapa TZ wanauza
@mananajr_ shida sio watu kuwa hapo,
shida ni serekali za halmashaur kutoweka sehem za waz ama gaden kwa anili ya mapumziko ya weekend ama siku km hiz
km kule ZANZIBAR serekali imebeba jukumu la kutengeneza sehem za watu kwenda kupumzika na kufraiya km siku za skukuuu au za kawaida
@Sativa255 kwa upande wa shule hakuna mwanafunz anatembea zaid ya 0.5 km kuifata shule, ila hapa mwanafunz anaenda adi km 10 ety anaenda kusoma kweli hapa unais akifika darasan akili itakuwa bado ipo sawa
@Sativa255 huyu dada amesha tembelea baadhi ya vijiji vya huku bara au yeye anaishia tu hizi wilaya 4 za dar,
mwambie aende km chole huko ,vikumburu, handen, kwa msisi,bagamoyo, maeneo ya ukuni, huko kiwangwa, aone dhahmabilokuepo, ktk nyumba ukiwa na urefu wa futi 4 tu kuingi uiname
@Sativa255 kuna siku nilikuepo moja ya kijiii hapa bara nikaletewa chakula,yakaletwa maj nikayaana machafu ata kunawa baadae mwenyeji anakuja anasema umenawa hayo ni maji ya kunywa
hapo kwanza na chakula chenyewe sikula tena
@Sativa255 ukiachana na nyumba,hamna miondombinu km ya maji,umeme, na barabara,
hapa dar tu nenda ike njia ya bonyokwa kimara au pugu viwege km unamimba pevu unaweza kuzaa njian