Namshukuru MUNGU jumapili yangu nimeianza na hii VIDEO hakika watanzania wamefunguka VICHWA SIO MCHEZO.
Mjomba anapiga PANAPOUMA KWA LUGHA NYEPESI SANAAAA.
REPOST 200
Naona siku imeisha Nchimbi hajulikani alipo - kila mtu anasema yake !
Kesho mtoeni tumwone na aongee na umma na apate haki ya kikatiba kwenda kokote anapotaka! Mnataka kuteka wangapi ninyi? Mnataka kila mtu awe chawa? 🙄
Still no sign of Emmanuel Nchimbi and his whereabouts are not clear!
So we call upon Samia Suluhu and her securiry forces to #FreeEmmanuelNchimbi