@stevenquotes360 kama hayuko sawa si ndio akwambie ili wewe ndo umuweke sawa,,,.maybe kuna mtu anampa kipaumbele ambae sio wewe, au kwa muda huo alikua na mtu mwingine so alihitaji muda wa bila kusumbuliwa na wewe
@kalage_jr USHAURI: Inapendeza ukipost bidhaa ukaweka na bei ili atakaekoment/DM aombe punguzo au bargaining, inaturahisishia wengine kutouliza bei kila muda. Nawasilisha kaka
@Innocen89950594@Maestrowafact we andaa pesa kila kitu utanunua kule kule sema kule utauziwa kwa bei ya kizalendooo๐,,, ko andaa pesa ya.kutosha ingia kikosini wanauza izo pitshot, greenvest raba na socks na vingn