FREE GIGY MONEY !!
Kuna Wasanii tena wakubwa wanafanya mambo ya ajabu, kinyume na Maadili tuliyoyazoea, wanaachwa HURU, alafu GIGY MONEY ambae alitumia "Ubunifu wa Mavazi" akashutumiwa yupo UCHI na kufungiwa Miezi 6.
Gigy ni MAMA na anategemewa na family yake. IT'S NOT FAIR !!
@SuluhuSamia Bi mkubwa huku mtaani Bundle limekuwa tatzo, hta Mimi kuandika hapa nimetumia elfu 3 kwa one GB, maisha yanakuwa magumu kwa mala nyingne jaman๐ญ
Anaitwa @DocFaustine waziri mwenye dhamana na mawasiliano. Waziri aliyetumika na serikali kupandisha gharama za vifurushi. Bavicha, "TUNAITAKA SERIKALI IPUNGUZE GHARAMA YA VIFURUSHI". Retweet Tweet hii iwafikie wenye dhamana.
Bashiru mwezi wa 2 alikuwa anaishi nyumba ya Katibu mkuu CCM ya chama, mwezi wa 3 akahamia nyumba ya Katibu mkuu kiongozi na leo anahamia nyumbani kwake Ubungo Msewe barabara ya chuo kikuu๐๐๐
Sasa huu ndiyo utalii wa ndani ๐คธโโ๏ธ๐คธโโ๏ธ
Unaweza kufuatilia #StraightTalkAfrica na kuitazama leo saa 21:30 usiku saa za EA kupitia YouTube Channel ya @VOAAfrica au ukitembelea ukurasa wa Twitter wa @VOAShaka na wageni watakuwa @TunduALissu na @ProfPLOLumumba wakijadili "The Legacy Of Tanzania's Late President"