X Familia, kelele kwa Buyobe hazitoshi, tuongeze nguvu ya kupaza sauti na kumpigania haki ikatendeke kwake!!
Huyu ni ndungu yetu kabisa!!
Be safe chafu yangu @fbuyobe damu ya Kristo ikakufunike!! Nakuombea🤲
@iam_meenaally @LarryMadowo Wewe na media yako mlitoa report yoyote ? Kama mlivyochagua upande mkakaa kimya tulipo wahitaji ndivyo mnyamaze hata sasa .
I am at that point in my political evolution where I would consider voting for a puppy or a cat that stands against the current crop of African leaders
No kidding
Mchakato wa uhakiki wa Mawaziri (CSs) Kenya.
Baraza la Mawaziri Kenya linajumuiwha Rais wa Jamhuri ya Kenya, Naibu Rais, Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya Kenya, na wajumbe wa Baraza la Mawaziri wa Serikali ya Kenya ambao si chini ya 14 na si zaidi ya 22.
Kwa mujibu wa ibara ya 152(2), Katiba ya Jamhuri ya Kenya, Rais wa Jamhuri ya Kenya huteua watu binafsi kushika madaraka ya Waziri (Cabinet Secretaries) ili kuhudumu katika Baraza la Mawaziri Kenya.
Majina ya waliopendekezwa kuwa mawaziri katika Serikali ya Jamhuri ya Kenya hupelekwa katika Bunge la Kenya kwa ajili ya uhakiki. Lugha rahisi tunaweza kutumia neno vetting. Ni aina nyingine ya usaili.
Baada ya kupokea majina, Katibu wa Bunge ataitaka kamati inayohusika na uhakiki kufanya kikao kuidhinisha. Kamati huamua mahali na wakati wa kusikilizwa baada ya kumjulisha katibu wa bunge.
Kamati ya Bunge inafanya ‘vetting’ kwa walioteuliwa kuwa Mawaziri inayoa taarifa kwa umma kuhusu muda na mahali pa kusikilizwa usahili huo. Taarifa kwa umma itatolewa angalau siku saba kabla ya kusikilizwa.
Wananchi wanafahamishwa na kamati inauofanya ‘vetting’ kuhusu mchakato wa utezi na kuruhusiwa kuwasilisha maoni kwa watu waliopendekezwa kuwa Mawaziri katika Serikali ya Jamhuri ya Kenya.
Katika kutoa maoni, mwananchi yeyote ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kenya anaweza kumpa katibu wa bunge ushahidi unaopinga kufaa kwa mtu aliyeteuliwa kushika nafasi hiyo ya Waziri Katika Serikali Kenya .
Hii inapaswa kufanywa kabla ya kufanywa kwa usaili kwa watu waliouteulwia, kwa taarifa ya maandishi. Kiapo cha mawasilisho kwa kawaida hutumwa kwa Katibu wa Bunge la Kitaifa ndani ya muda utakaotajwa
Baada ya vikao, kamati inayohusika na vetting kwa Mawaziri huandaa ripoti ya kila mteule. Kamati inatakiwa kuzingatia uteuzi na kuwasilisha taarifa katika Bunge kwa ajili ya mjadala na uamuzi ndani ya siku 28.
Ripoti hiyo ambayo inawasilishwa Bungeni, inajumuisha mapendekezo ya kamati kuhusu kuidhinisha au kukataa wateule hao. Kumbuka, waziri wa Serikali ya Jamhuri ya Kenya hatakiwi kutoka miongoni mwa wabunge.
Mtu ambaye atakuwa ameteuliwa atashika madaraka ya kuwa waziri kwa kuapa au kuthibitisha uaminifu wake kwa watu na Jamhuri ya Kenya na utii kwa Katiba, mbele ya Rais. Anaweza pia kujiuzulu wakati wowote.
Njoo Tanzania kwetu sasa. Hii ni maajabu. Waziri anateuliwa mchana, kesho anaitwa kufika eneo maalum kuapishwa. Hakuna mchakato maalum wa kuidhinisha uteuzi wake. Hakika, KATIBA MPYA ni MUHIMU.
BLO’angu @zittokabwe
Zitto Kabwe na wenzako mlianza kuwapa uhalali MaCCM tangu wakati wa Kikosi Kazi. Wakati wengine tunasisitiza tunahitaji Katiba Mpya, wewe na wenzako mkasema tuanze na Tume Huru kuelekea Katiba Mpya. UHUNI.
Tukawauliza, Je, mnataka Tume Huru kabla ya Katiba Mpya ili mshiriki uchaguzi tu? Tukawaeleza, Tume Huru ya Uchaguzi itakayoundwa pasipo na UKUU wa Katiba itakuwa na msuli gani? Huo ni UTAPELI.
Kikosi Kazi cha MUKANDALA mkiwepo ZAMBARAU mkatumia miezi 10 ya kutafuna posho za Serikali, mkaibuka kutaka SSH atawale miaka 9 na hilo la KATIBA MPYA lifanyike baada ya UCHAGUZI wa 2025.
Zitto Kabwe na wenzako. Mmewafanya MaCCM kuwa na kiburi hiki cha kuwaua wananchi kwa kuwa wametengeneza upinzani ambao unawasaidia. Tuliwakataza msiingie katika uchaguzi huo haramu.
Mmetumika na MaCCM kuhalalisha uchaguzi haramu na kuwapa ushindi wa kishindo, hakika umehusika kutufikisha hapa. Mliamua kuwa wabinafsi kama watoto wa uswazi waliobeba mimba za watoto wa kishua.
When a regime loses trust and legitimacy, everything inverts.
Official denials are read as admissions.
Clarifications are interpreted as cover-ups.
Accusations of treason look like scapegoating.
And the more frantically the state denies evidence that people can see with their own eyes, the deeper the credibility hole becomes.
This is the real tragedy of losing the information war: once the public stops believing you, nothing you say works.
Not threats.
Not persuasion.
Not “official statements.”
The regime is fighting the wrong battle with the wrong tools — you can’t win an information war with force. Trust doesn’t respond to commands.
MEDIA HAWA NI WASALITI
Hawa mkiwalaumu ni sawa kabisa! Maana kama Viongozi, wanaweza kutoa miongozo kwa walio chini yao, au hata wao kutoa maoni ambayo yanazingatia ethics za Utangazaji, Uandishi na Uhariri. Pia wangeweza kuwa mstari wa mbele kupinga SHERIA KANDAMIZI zinazo athiri Journalism na ustawi wake. Ila wamekuwa wanajipendekeza ili wapate TEUZI, wana support utawala dhalimu, wananunulika kwa njaa za muda mfupi. Sheria ya ITHIBATI ambayo imetumika kuminya Sauti za Watu wanaohoji vitu, kwanini hamjai-fight? Hizo press Uchwara zenu za nini? Mara Tuzo sijui, ambazo zilikuwa ni rushwa tu za kuwanunua, why?
Ujue mtu unaweza kuwa upo “under duress” ila UKATOA ISHARA KUWA HAUPO HURU BILA KUM-ALERT MTESI WAKO. Na hii analogy inawezekana kabisa hata katika mazingira ya MEDIA “kushurutishwa”. Ukiondoa tu Media Ethics, pia wao wana Social Responsibility kuhakikisha HAWAIDANGANYI JAMII, maana wao wenyewe ni sehemu ya Jamii.
Sasa hawa wamejidharaulisha na kujivunjia heshima, kwa kutaka ku-undermine na ku-illegitimize MAANDAMANO. Kweli ABSALOM KIBANDA, DEO BALILE, EZEKIEL KAMWAGA, AISHA DACHI, MBARAKA ISLAM that is your best recount of what transpired on Oct 29th - Nov 2nd ?! You are justifying killings, you are gaslighting the youth? you are criminalizing protesters? you are pushing the killers narrative? REALLY? Kwa kipi hasa, Ticket za bure za Treni to Dodoma na vyumba vya hotel? Au Bahkshishi? Au mitutu ya Bunduki upande wa pili wa Mic za Deutsche Welle humo kwenye SGR?
What is your signal ya Uadilifu, ambayo itafanya tuelewe na kujua mpo under duress? Kwani mnadhani Mtume Vernon Fernandes kwenye hotuba yake siku ya Uapisho wa Mama Wa Kambo, yeye hakuwa under duress? Mbona yeye alitoa hotuba iliyosimama kwenye haki?
Kundi la Rock (Marekani) la BON JOVI lina wimbo unaitwa “You Give Love A Bad Name” ambao unaongelea mpenzi panzi anayerukaruka bila kutulia kwenye mapenzi. Naweza kusema Ndugu BALILE & Company, “YOU GIVE JOURNALISM & MEDIA A BAD NAME… “
The Leader