Utabiri wa hali ya hewa wa saa 24 zijazo kuanzia saa 3 usiku wa leo 03/03/2018 kama unavyoletwa kwenu na mchambuzi Mohamed Hamis.
https://t.co/np6AuhrKr0
A group of jobless youths, who started a project with less than Sh100,000 ten years ago, are harvesting almost Sh4 million a month from the sale of mushrooms https://t.co/IA7iWST2Mb
TAHADHARI & ANGALIZO
Kwa tarehe 02/03/2018, kuna tahadhari na angalizo la matarajio ya vipindi vifupi vya mvua kubwa katika baadhi ya maeneo ya nchi yetu. Bonyeza LINK ifuatayo kwa taarifa zaidi;
https://t.co/hU6omukSwK