@Iamfelixtz Enzi za Kassongo, hapo tusingekosa. Yaani tumesamehewa saana 20M. Yaani ile vuguvugu la uongozi wa timu ili kumtoa Kassongo pale ndo naona umuhimu wake.
@Nguyau_@GIVENALITY Hiyo offa anayopewa a iria dereva anaiona kwenye detail ya safari anapofika mwisho wa safari. Mimi nilikuwa sijui mambo haya ya ofa ila dereva ndiye aliyenielewesha. Nimefika mwisho ananiambia nitalipa sh x coz nina ofa ya sh y. ambayo bolt watampa
@JayleenRickie Bar ndio majirani yangu. Kelele za muziki kutoka katika bar hizo ndio tatizo kwetu. Kuanzia 12jion hadi saa moja asubuhi.
Tunafurahi tanesco wakikata umeme usiku
@moodewji@SimbaSCTanzania Hakuna jambo jipya ambalo hatujasikia katika miaka/misimu hii 3. Nakushauri badili uongozi na usiogope kufanya mabadiliko ya kiutawala. Pia Ajiri mkurugenzi anayehusika na wanachama.