na mazingira yanayotulinda dhidi ya mabadiliko ya tabianchi. Lakini bahari yetu sasa iko hatarini kwa sababu ya uvuvi haramu, uchafuzi, na ongezeko la joto duniani.
🌀 Tukumbuke:
Kuidumisha bahari ni kuidumisha dunia na maisha yetu.
👉 Hifadhi, linda, elimisha, shiriki.
🌊 Siku ya Bahari Duniani 2025 🌊
Kauli mbiu: “Maajabu: Kudumisha Kile Kinachotudumisha”
Leo tunasherehekea uzuri na umuhimu wa bahari — chanzo cha uhai, chakula, hewa safi na maisha endelevu.
Bahari ni maajabu ya uumbaji; ndani yake kuna viumbe wa kila aina, rasilimali,
MNYORORO wa THAMANI katika ufugaji wa Sato unawatendaji wengi kuanzia, Wasambazaji wa nyenzo za ufugaji, Wazalishaji, Wachakataji, Wafanyabiashara na Wauzaji wa rejareja.
Katika maeneo haya Kuna fursa Kwa Wawekezaji
MNYORORO WA THAMANI WA UFUGAJI WA SATO
Ufugaji wa Samaki nchini Tanzania unabebwa Kwa asilimia kubwa kwenye ufugaji wa Sato(98%). Asilimia zilizobakia ni ufugaji wa Kamba na Kaa ambao mara nyingi soko lake lipo nje, Pamoja na uzalishaji wa Mwani.
Source: @wizaramifuguvuv
“Wizara imeanzisha mashamba darasa 100 ya malisho yenye ukubwa wa hekari 520 katika halmashauri 44 na kusambaza mbegu tani 8.56 kwenye mamlaka za Serikali za mitaa na wafugaji binafsi kuendeleza kufugaji kwenye kijiji cha Msomera” Mh Ulega
#MifugoNaUvuviNiUtajiri
“Mwaka 2022/23 kilo 22,691 za mbegu bora za malisho zilizalishwa ikilinganishwa na kilo 4,481 zilizozalishwa mwaka 2021/22.” Mh Ulega.
#MifugoNaUvuviNiUtajiri
Macho na Masikio yetu ni kuanzia Kesho Bungeni kupata kufahamu Bajeti ya Wizara yetu Nyeti @wizaramifuguvuv.. Itakuw Mubashara katika Vyombo vya habari ikiwemo TBC, STARTV
.. Tusikose kujua Mwenendo pamoja na vipaumbele katika Wizara hii Mwaka Ujao wa Fedha.