@George_Ambangil Gari ya kuagiza ni bora sana, kwani utajua uhalisia wa Hali halisi ya gari wakati unainunua.
Gari ya showroom huwa wanazinunua zikiwa na grade mbaya so zikifika zinapelekwa garage kama ni kuirudisha kms nyuma, kupaka body rangi, nk
Mkuu Ambangile Njoo @DriversMakini tukuagizie
Dereva Bajaj amempakia abiria ambaye sio Mwislamu. Muda wa swala umefika akamfahamisha anahitaji dakika chache apige rakaa halafu safari iendelee. Mdada akakubali, yuko nje kwenye Bajaj peke yake anamsubiri dereva amalize ibada waendelee na safari. Utofauti wa Imani sio uadui, bado tunaweza kushirikiana kwa mengi.
Unaona hivyo ukikutana na demu wako unaweka simu DnD, umeweka privacy protector na brightness zero
Ndio watu wameoa wanaishi hivyo hadi watakufa bro๐ญ.