Need of a Keen ... Smart Drivers for any vehicles Check us #MakiniDrivers as For Us "Safety is A Priority" Call us +255(0)624746074 WhassApp:+255(0)768541139
@mlabwa@samatimemagari Yeeah
Ndio maana kuna ajali za aina kuu Mbili
1.Ajali inayoepukika
2.Ajali isiyoepukika
Kwa upande wa gari ndogo iliosababisha ajali hiyo ndo ajali inayoepukika as kama angepaki na kulala kidogo ajali isingetokea
Ila Kwa gari ilogongwa na lorry hiyo ndio ajali isiyoepukika.
Kipindi hiki cha Mwisho wa mwaka watu Wengi husafiri na magari yao binafsi..
Tafadhali tambua kwamba uendeshaji wa Highway ni tofauti na Town trips.
Karibu Tukupatie Dereva.
#UsalamaNdioKipaumbeleChetu
LOGO DESIGNING
CLIENT:@DriversMakini
IDEA: from the word itself "Makini" Putting two hands on the driving wheel was a thing to express Carefulness during driving..
Pleasw have some looks on the logo Mockups for Makini Drivers
@DaktariWawatoto@McinikaWaLamar