Wakati mwingine mtu anaweza kuwa hana shida na wewe....ila sabab ya mdomo wako akataka akuoneshe ni nini anaweza japo hapati faida yeyote.....
So msiwasukume sana watu kwenye kona ambapo watataka kukuonesha ni kiasi gani mioyo yao ina ganzi.
@mworombo@Adloph6@PolycarpMDM Nilikuwa nawazaga ukisikia mwarabu ni habari za kiislam na kusimamia taratib za dini kindaki ndaki kumbe kwa ground sio taarifa za habari wakati mwingine zinaletwa kwa kusudi fulani
@Granitinho85459@DadaConso Sijui ka tunaelewana, nikitaka ticket naingia online nafanya booking yangu hakuna mtu anakuwa pale kuhakiki...na nikitaka kubadili au kucancel ni hivyo hivyo. Kupata get pass ndo watahakiki passport na visa kama ipo
@Granitinho85459@DadaConso Sijaelewa hapo...
Ila nafikiri kote ni taarifa tu coz hata kukata ni taarifa hakuna wanapohakiki hadi utapoenda kupanda ndo watataka vielelezo ndo upewe hicho kipass kuendelea na ukaguzi mwingine
@ItsKamala Uliwahi kukuta jamaa sokoni (maeneo ya mipakani) wameshika kiburungutu cha hela mkononi? Toka napata uelewa nimekuwa nawaona na sijawahi sikia wameibiwa na wengine nilikua naona wameshika kias kikubwa ru
@NjiwaFLow Ila wachaga kama stout zipo na znatembea uchagani...ile simu kuwaka si jambo la kushangaza.
Sasa wenye nazo waanze kumtafuta waachane na yule mzee wa KAWE
@thomasjkibwana Hiyo ya kijani ni watu gani, kunasiku tumerud kufika JNIA kuna mzee akawa anagomba watu wa uhamiaji hawakuwepo kwenye vizimba wakati wa ukaguz kikund chake walitoa pass nyekundu mmoja akatoa hyo ya kijani walikuwa 6 au 8 hivi
@PapiiKhan98 Miaka ya nyuma walikuwa na tabia ya kuwakimbiza boda wasio na helment akaja mkuu wa wilaya akawauliza helment ni kwa ajili ya usalama wake unapomkimbiza huon kama unaongeza hatari kwake, kwako na watu wengine? Akapiga marufuku na ilikuwa na msaada
@fredkavishe Bro ujue Hedaru, Makanya, Same mjini, Kisangiro, Kisangara, Lembeni l, sehem za Tarakea (hasa karibu na mpaka) nazo ni K'njaro hazina hyo kijan