@YerickoNyerereT Kwenye hii dunia nothing is permanent, watu makini wanatakiwa kuendana na majira na nyakati, ili kupata dhahabu inahitajika smelter pengine huu ndio wakati mzuri wakaonekana udhahabu wako kwenye huo moto. HIZI NI NYAKATI TUU
@SanvickRumas@IAMartin_ Fanya research vizuri, almost dunia nzima mashine za kuchimbia mafuta zinamilikiwa na Muingereza.
Hakuna mwarabu anaechimba mafuta.
Fuatilia historia ya DUBAI, Mmarekani alichukua mafuta kwa miaka 100 ndio akamuachia murabu... Dunia sio yetu kaka
@_Sabuni@Jambotv_ Maana yake hapo Mpina anasema hizi bodi za chini zilikataa single sourcing lakini bodi ya wakurugenzi wakayapitisha kwa kivuli cha barua ya Mwigulu.
Nadhani unaweza kua umepata picha kidogo mkuu!
@_Sabuni@Jambotv_ Hiyo taasisi ni thamani ya mradi, mfano unaweza kukuta bodi ya mkoa haiwezi kufanya manunuzi yanayozidi 10M kwahiyo ikishazidi hapo tender inakua ya national wise procuring board ya hiyo taasisi, sasa ikishapitisha hayo manunizi bodi ya wakurugenzi ndio ya mwisho kuidhinisha...
@_Sabuni@Jambotv_ Kwa ninavyofahamu mimi, bodi za zabuni zinakwepo nyingi sana kwenye taasisi inaweza kuwa kila mkoa au kila wilaya na wanakua apointed na MKURUGENZI mkuu wa hiyo taasisi, then bodi hizo zinafanya procuring ya sehemu husika walipo kinachoitofautisha na bodi kuu ya manunuzi ya......
@Mvuvi_Nyasa Mimi point yangu ni moja tuu Mo ni next level kwa GSM kibiashara. Mimi sii shabiki wa simba ila ndio ukweli huo. Inawezekana kwenye matajiri 100 africa GSM asiwepo (sijafanya research lkn)
@Mvuvi_Nyasa Kitu ambacho hujui Mo ameshajikita kibiashara sehemu kubwa ya africa. GSM ndo kwanza kama anaanza so kwenda Congo kuna mengi ya kibiashara nyuma ya yanga.
Ndio kwanza anajitafuta nje ya mipaka ya TZ
MO angeenda na timu sijui Angola, Malawi ingekua jambo la kushtua
Yanga daima