Good Friday reminds us of Jesus Christ’s sacrifice. May this day further deepen the values of harmony, compassion and forgiveness. May brotherhood and hope guide us all.
"In Japan a corrupt person kills himself. In China, they will kill him. In Europe they jail him. In Africa, he will present himself for election." ~ Prof. PLO Lumumba
TAFAKURI!
Leo nataka kuwaambia Gen Z kuwa Tundu Lissu ambaye amejidhirisha kuwa ni political mastermind, brilliant lawyer and international icon ametoka familia ya kawaida ila wazazi wake walikuwa wasomi akiwemo mama yao.
Hii picha inaongea mengi!
Lissu amesoma shule za serikali na amejiendeleza kimawazo, kimtazamo kwa kusoma SANA vitabu! Ana Kiingereza kizuri - impeccable! Ana vocabulary iliyoshiba na hajasoma Oxford au Cambridge au Havard bali UDSM!
Kama tunataka kuongelea self made man basi ni Tundu Antipas Lissu - hajamhonga mtu wala kutafuta favors kufika hapo alipo!
Kwa hiyo vijana msikubali kuambiwa eti hamuwezi ku achieve mlichopanga kwa kuwa mmetoka familia isiyo na uwezo au hujasoma shule fulani!
You are who you set yourself out to be!
Mjiamini and let Tundu Lissu inspire you every day because he is truly an exceptional leader!
#FreeTunduLissu
Shangwe la WanaCHADEMA wakati Mheshimiwa Lissu akiingia katika ukumbi wa Mahakama Kuu ahsubuhi hii leo 09 Feb, 2026
#TunduLissuSioMhaini#FreeTunduLissu
@HildaNewton21 Mungu akubariki sana dada @HildaNewton21 tuko sako kwa bako mpaka kieleweke j3 Mungu akipenda nitakua mahakamani kupata darasa la sheria toka kwa Simba wa Tanganyika
solidarity w/ tundu lissu — the man w/ the balls, intellect and integrity than the whole of his diminutive persecutors — as his sham and wasteful trial resumes today. truth will triumph over lies, justice will prevail, and lissu will be free. we’ll be here to celebrate him 💚
Hivi unaweza kumwambia rafiki yako anayekuheshimu aliyepotelewa na ndugu asahau yote yaliyopita muanze Upya?Hata shetani na uovu wake atasikitika.
Tamko stahiki liambatane na Matendo sahihi na Msingi wa Yote ni Haki, Ukweli, Uwazi na Uwajibikaji.Tuna mtaka Mdude Mpaluka Nyagali na wengine wote waliotekwa.
BAK MWABUKUSI.
As the ICC prepares a landmark dossier on the 2025 massacres, ➡️ https://t.co/gNvNuLUJpN President @SuluhuSamia is trading state funds for Republican influence in a desperate bid to escape global pariah status.
Ameandika Askofu Benson Kalikawe Bagonza
NADHANI TUNAJICHANGANYA?! Au ni Mimi Najichanganya?!
1. SAFARI YA VATICAN
Tungepatana nyumbani kwanza na wawakilishi wa Papa kabla ya kwenda kwa Papa. Tumempiga Padre wake; Tumetengeneza Wakatoliki Vijora; Tunamdhalilisha Kitima, halafu tunaenda kwa Papa. Hatari ipo ya kuambiwa, “Kama hamkumsikiliza Musa na Manabii, hamtaweza kushawishika hata mtu akifufuka”(Luka 16:31). Patana na mshtaki wako kabla ya kwenda kwa Kadhi.
2. MABEBERU:
Tumezoea kuzizodoa nchi za Ulaya kuwa ni mabeberu. Vatican iko Ulaya. Je, Hata Papa ni Beberu? Naye anataka kuchimba Uranium yetu?
3. AMANI YA NCHI
Wizara ya Mambo ya Nje inamuomba Papa aiombee nchi yetu iwe na Amani na Utulivu. Wizara ya Mambo ya Ndani inasema nchi iko salama imetulia. Hawawasiliani? Nani msemaji wa nchi?
4.MARIDHIANO
Wazee wa Chama wanataka Maridhiano. Bunge linasema nchi iko sawa. Tume iko kazini kuchunguza. Nani mkweli? Je kuna ukweli tusioujua hadi tuumulike kwa tochi ya Tume? Je tunataka maridhiano kabla ya ukweli?
5. CHADEMA na CCM
Wapo wanaosema Chadema Imekufa lakini wanaisema kila siku. Huyu ni marehemu mwenye nguvu. Makada wa CCM wanasema CCM tunatamba nayo. Ukiiangalia unaiona ni mfungwa asiye na pingu. Nani zaidi kati ya marehemu anayeishi na aliye hai lakini amekufa?
6. YALIYOTOKEA OKTOBA 29
Siku hii inatusumbua mpaka tunaenda Vatican. Bado kwenda Mecca. Kama waliokufa hawajulikani; waliowaua wanajijua. Dunia inajua makundi yote mawili. Hekima ya WAJALUO inasema, “kuchelewa kwenda kujisaidia, hakuzuii njaa kuuma”. Tukubali: Tuliua, Walikufa; tuombe radhi, tuwajibishane na kusonga mbele.
7. TUNDU LISU
Waliompiga risasi hawajakamatwa lakini walioiba michango yake wamekamatwa. Yeye yuko rumande. Mahakama imeenda likizo na haki yake iko likizo. Fikiria daktari akienda kupumzika katikati ya operesheni mgonjwa?! Tunajikanyaga mpaka tunajiudhi.
8. WIZARA YA MAMBO YA NJE
Hii Wizara inaonyesha tuko vitani. Kimsingi ina mawaziri 4: Kombo, Kabudi, Nyalandu na JK. Msiniulize JK ni nani maana mtamuona anatumwa katika masuala magumu huko nje. Waliobaki 3 na manaibu 2, wanaunda kikosi kazi cha mawaziri wa wizara. Msiniulize nani ni Boss maana Kabudi anaweza kujikuta ni Naibu Waziri. TUNAJIKANYAGA MNO.
9. Taifa likiwa katika mtifuano kama tulio nao, linakuwa kama mgonjwa. Hawezi kwenda kwa daktari akagoma kuvua nguo. Tuvue zote na madaktari watuingizie vidole kila mahali ili kubaini ugonjwa ulipo ndipo tutibiwe.
Wajaluo wakibanwa TEZI DUME husingizia wanaumwa kichwa. Sasa Wajaluo wa TEZI JIKE hao usiseme!
We need so many murals. I keep praying that y'all souls shalt not rest until justice is realized. I pray the curse of the blood you shed is upon all who betray your sacrifice. 🕊️.
question: why africa continues to see the presence of governments that do not, in actual sense, represent the will of the majority?
answer: because the majority had chosen to allow that for quite a long time: