@Gmv6ffvk8pSaid@godbless_lema Kwaakili yako CHADEMA wapange maandamano trh 7 polis na itelejesia yao wasijue eti ajue @kihongos ? Hivi mnadhani watanzania bado ni wapumbavu kama nzi wa kijani? Tutaanza na nyie chawa ukombozi ukipatikana
@Sativa255 Tofauti ya @MsigwaPeter na @EzekiaWenje ni kubwa sana Msigwa aliondoka kwa sababu ya "mwamba" wenje alifanya udalali wa kumrubuni Lissu asaliti kambi.Kwa msingi huo wenje hana chake CHADEMA hatutaruhusu hilo litokee ila Msigwa tunampokea chini ya uangalizi mkubwa
@MsigwaPeter Ninachoshukuru siri zao unazijua nje ndani kikubwa mtegemee Mungu katika ulinzi wako kwa kipindi hiki kuliko wakati wowote,nje ma hapo watapita na wewe si unakumbuka ya @hpoIepole ? Karibu nyumbani tena "Huwezi kuimba nyimbo za sayuni nchi ya ugeni"
@Aduiwayanga Una kazi ngumu sana ya kutakatisha kinyesi ndugu๐๐๐ hivi inakuaje unaamua kua upande wa wauaji na dhamiri yako haikushitaki? Yakupasa utubu ndugu wote wafanyao hayo na kusapoti kwa namna moja au nyingine ni JEHANAMU,Mungu hadhihakiwi
@fbuyobe Aah @fbuyobe umenisikitisha sana ๐ญ๐ญ๐ญ moja ya watu niliowaamini nchi hiii ni wewe,madodoso yako yote hayajaonyesha popote wewe kutomtambua Msuya mshukiwa wa utekaji licha ya mapungufu madodo ktk simulizi ya @HildaNewton21 dah!! Hii dunia bila Yesu HATUTOBOI