@prossoff Sio chuki, tuliza akili. Ni kawaida sana kukosolewa kwa kuhamasisha Watu wafanye jambo ambalo wewe mwenyewe hufanyi mfano motivational speakers wanavyokosolewaga.
Kingine, mtandaoni usichukulie mambo personal sana.
NB; Kuwa makini, usije omba Mwanaume alambe kinyeo chako!๐ซต
@George_Ambangil Tupo tuna-enjoy moments, maana zama hazidumu; ila nimewaza tu hii gemu inamkuta yule Ronaldo wa awamu ya pili Man United msimu wa 21/22๐
Walau yule tu yaani kipindi cha kwanza kwa chances zile pengine zingekuwa nne tayari toka kwake.
@ByCardoJason Ile ni AURA Kaka, hakuna script pale; mwamba alikuwa muumini wa semen retention huyo na aliwahi kuimba kwenye baadhi ya nyimbo zake ikiwemo dangerous.
Unazungumziaga kuhusu nyeto, naamini unaelewa nikizungumza AURA na SEMEN RETENTION vinavyohusiana; hasa kwa Mwanaume ๐
@Captain_Josh47 Halafu Baba alifanya hivyo sio kama alikuwa hakupendi, ila fundisho tu! Kuna namna Mungu katuumba Sisi Wanaume dah, amazing sana ๐ฅ
Pongezi nyingi kwa Mzee wako Man!
@mzeemkambunga@INFLUENCERjr Kaka, muziki ni universal language. Watu wa rika lolote kwa jinsi yoyote wanausikiliza tofauti na mpira, sio kila Mtu anaushabikia.
Halafu, muziki unaishi hasa ukiwa mzuri ndio maana MJ anatajwa mpaka leo!
Ni rahisi Mtu kuwa maarufu kupitia muziki kuliko football. MJ yuko juu!
@iammartial97@INFLUENCERjr Ishu tumekuwa programmed kusikia kuhusu hao kilazima so lazima wawe maarufu kuliko MJ; chukulia tu mfano Mtoto anayekua kwenye zama hizi, ataanza kusikia kipi kati ya Yesu/Muhammad au MJ?!
Ukweli haupingiki kwamba ukiondoa ishu ya dini MJ ni nambari uno, ishu hao ni mfumo!
@DadaConso Afrika hii Watoto wanaanza kuambiwa kuhusu Yesu/Muhammad kwenye umri mdogo kabisa?! Sidhani Dada Conso!
Mfano tu, Mimi ukuaji wangu Mzee wangu alikuwa ana albums zote za MJ lakini haiondoi ukweli nilianza kujua kuhusu Yesu kabla ya MJ
Huku zinaanza dini ndio vinafuata vingine
@makumbawaleo_5n Mzee, hata kwa Mama yenyewe inaweza kuwa shughuli; nimeshuhudia Mshikaji wangu akipewa treatments tofauti kabisa na Mama yake mzazi pindi akiwa na hela na asipokuwa nazo.
Huwa namwambiaga tu, kama Mama anaku treat hivyo ukiwa na hela vipi hawa unaokutana nao tu huku duniani?!๐
@francismtey Hawakukosea bali na wao walikuwa kwenye mfumo huo huo waliokupitisha wewe pia, sio makosa yao! Hata wao walikuzwa hivyo na Wazazi wao ( Babu/Bibi zetu )
Muhimu, umepata huo utambuzi unaoona unakufaa!