Sekta za uzalishaji zilisimama au kupungua sana kutokana na hofu na uharibifu. Wafanyakazi walikosa kwenda kazini, na hivyo kuathiri pato la taifa na uchumi kwa ujumla. #AthariZaMachafuko#TumeYaUchunguziReport
Ustawi Wa Taifa
Gongo la Mboto huwambii kitu kuhusu Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Mwendokasi kwao sasa sio ndoto tena bali habari ya kweli.
Kazi Na Utu Tunasonga Mbele
Tume ya Uchunguzi wa Vurugu za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025 imetetea uaminifu na ukuu wa kazi yake. Mwenyekiti, Jaji Mkuu Mstaafu Mohamed Othman Chande, amesema uchunguzi ulijengwa juu ya ushiriki mkubwa wa umma, ushahidi thabiti na dhamira ya kuhakikisha uwajibikaji wa haki chini ya sheria. #TumeYaChandeImebaini
#TumeYaUchunguziReport
Maridhiano Ya Taifa
The report calls on all Tanzanians to embrace reconciliation as a national priority, arguing that healing divisions is necessary for building a stable, united, and prosperous country. #TumeYaChandeImebaini#TumeYaUchunguziReport Maridhiano Ya Taifa
MIAKA 57 RAIS SAMIA AVUNJA UKIMYA WA URUSI NA TANZANIA๐ท๐บ๐น๐ฟ
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, Rais wa Kwanza wa Tanzania alifanya Ziara ya kwanza Nchini Urusi Oktoba 1969, kipindi hicho Urusi ikijulikana kama (Shirikisho la Umoja wa Kisovieti/USSR). Kipindi dunia ikiwa imegawanyika katika kambi mbili kuu za Vita Baridi. Tanzania ilikuwa imeanza kutekeleza sera za Ujamaa na Kujitegemea baada ya Azimio la Arusha la mwaka 1967. Katika mazingira hayo, ushirikiano na Moscow ulikuwa na sura ya kisiasa na kiitikadi, lakini pia ulikuwa sehemu ya jitihada za Tanzania kupata teknolojia, elimu, wataalamu na msaada wa maendeleo.
Hata hivyo, Mwalimu Nyerere hakujifunga upande mmoja pekee; aliendelea kusisitiza sera ya kutofungamana na upande wowote huku akitafuta marafiki kutoka Mashariki na Magharibi kwa maslahi ya taifa. Baada ya hapo wamepita marais wanne hadi Rais Dkt. Samia alipofanya zara ya pili mwaka huu Juni, 2026.
Ni miaka 57 baadae Rais wa Awamu ya ya sita Dr. Samia Suluhu Hassan amepata Kuvunja rekodi hiyo. Rais Samia amefika Urusi katika dunia tofauti kabisa. Hakuna mgawanyiko wa Vita Baridi uliokuwepo mwaka 1969.
Badala yake, dunia ina ushindani wa kiuchumi kati ya mataifa makubwa yanayotafuta masoko, uwekezaji, rasilimali na ushawishi wa kidiplomasia. Tanzania nayo imebadilika kutoka uchumi
wa ujamaa kwenda uchumi wa soko
unaotegemea uwekezaji wa sekta binafsi, biashara na ushirikiano wa kimataifa.
Katika mazingira haya, ziara ya Rais Dkt. Samia imejikita zaidi katika kuvutia uwekezaji, kupanua biashara, kuimarisha ushirikiano wa teknolojia, nishati, miundombinu na sekta nyingine za uzalishaji.
Tofauti na Mwalimu Nyerere ambaye
alizungumza zaidi katika lugha ya
ukombozi, kujitegemea na mshikamano wa kisiasa, Rais Dkt. Samia anazungumza katika lugha ya ushindani wa kiuchumi, ukuaji wa uwekezaji na fursa za maendeleo.
Ni miaka 57 yenye dhamira ileile ya msingi: kuitafutia Tanzania washirika wa maendeleo katika mfumo wa dunia uliopo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Urusi lililofanyika Jijini St. Petersburg nchini Urusi tarehe 05 Juni, 2026. Kongamano hilo limewakutanisha Wafanyabiashara, Wawekezaji pamoja na Taasisi za kukuza Uwekezaji kutoka Tanzania na Urusi. #SamiaKaziniUrusi TanzaniaInaSongaMbele
Ripoti ya Tume inaonyesha kwamba wanaharakati walianzisha na kudumisha makundi ya siri ya WhatsApp na njia nyingine za kidijitali zilizotumika kupanga na kuratibu ghasia. Ushahidi wa kidijitali uliokusanywa na Tume ulionyesha wazi kwamba makundi haya ya siri yalitumika kutoa maagizo ya moja kwa moja kwa wafanya ghasia. #WanaharakatiWaUongo
#TumeYaUchunguziReport
Harakati Za Uchochezi
Ripoti ya Tume inaonyesha kwamba wanaharakati walifanya kazi kwa makusudi kuharibu imani ya wananchi kwa mfumo wa kidemokrasia wa Tanzania. Hii ilikuwa sehemu ya ajenda ya siri ya wafadhili wao ambao walitaka kuonyesha kwamba demokrasia ya Tanzania imeshindwa, ili wapate sababu ya kuingilia kati na kuweka mfumo mpya unaofaa maslahi yao ya kisiasa na kiuchumi ya kibinafsi. #HarakatiZaUongo
#TumeYaUchunguziReport
Ukweli Umefichuliwa
Tume imependekeza kuongezwa kwa uwajibikaji wa vyama vya siasa katika kuwadhibiti wanachama wanaochochea vurugu. Vyama vinavyoshindwa kudhibiti wanaochochea ghasia viwe na adhabu ili kuwalinda vijana wasitumike kama zana ya kisiasa #RipotiYaKizalendo#TumeYaUchunguziReport
Sauti Za Wananchi
Tume imependekeza kuimarishwa kwa mifumo ya kutoa taarifa za haraka na za ukweli wakati wa uchaguzi ili kuzuia uenezi wa habari za uwongo. Hii itapunguza uwezekano wa vijana kudanganywa na kuhamasishwa kushiriki ghasia kupitia mitandao #RipotiYaKizalendo#TumeYaUchunguziReport
Sauti Za Wananchi
Taasisi za kidini zilichangia katika kurejesha imani ya raia katika mchakato wa kidemokrasia kwa kuwahimiza kupiga kura kwa amani na kukubali matokeo kwa utulivu #TumeYaJajiChande#TumeYaUchunguziReport
Umoja Na Amani
Tume inaamini kuwa utekelezaji kamili wa mapendekezo yake utalinda taifa dhidi ya ghasia za baadaye na kuijenga Tanzania yenye amani, umoja na maendeleo endelevu #MapendekezoYaTume#TumeYaUchunguziReport
Ukweli Wa Ripoti
Familia nyingi zivunjika kutokana na vifo na majeruhi. Wazazi walipoteza watoto, watoto walibaki yatima na ndoa zilisambaratika kutokana na msongo wa mawazo na matatizo ya kiuchumi yaliyotokana na ghasia. #AmaniNaUwajibikaji#TumeYaUchunguziReport
Sauti Ya Wananchi
CCM haiwezi kulala, Rais wa nchi asingekuwa anakaa kwenye vikao vya kawaida vya shina kusikiliza wanachama. Chama kinatuma ujumbe mkubwa kwa wanaodhani chama kimepoteza mwelekeo.
Barabara, vituo vya afya, shule na miundombinu muhimu iliharibiwa vibaya. Hii ilisababisha upungufu mkubwa wa huduma za msingi na kuchelewesha maendeleo katika maeneo yaliyoathirika sana. #AmaniNaUwajibikaji#TumeYaUchunguziReport
Sauti Ya Wananchi
Watoto wa mitaani na vijana walioathirika walipata kiwewe na kupoteza fursa za elimu. Baadhi walijiunga na vitendo haramu kutokana na maisha magumu yaliyotokana na ghasia #AmaniNaUwajibikaji#TumeYaUchunguziReport
Sauti Ya Wananchi