2/2
4. Epuka matumizi mabaya ya media . Mtu unaongea na watu wa eneo 'Y' kuhusu mambo yao, kwa nini uwe mubashara kwenye TV ya taifa?
5. Acha kiburi na kuwaona wapinzani wako kama maadui.
6. Acha vitisho na kuwapa wananchi jukumu la kulinda amani. Wewe ndiye umepewa dhamana.
Dear Dr. Salim, When I was at primary school, I used to answer the question about the Secretary General of OAU that is when I knew you! A leader, diplomat and a father. You are an inspiration to many of us. Happy birthday #DearDrSalim
Unaambiwa tunaenda ku injekti fedha kwenye mzunguko! Sijui wanatuonaje sisi
Hizo fedha ambazo wanazo za ku injekti si wazitumie huko huko? Kwani mpaka wazi injekti ndio watuongezee makato๐ค
" Itungwe sheria maalum kujinaisha (Criminalize) vitendo vya kusifia viongozi wa umma hadharani au kupendekeza ukiukwaji wa Katiba. Kuwasifia iwe sawa na kuwakashifu. Anayetaka kumsifia au kumkashifu kiongozi amwandikie barua binafsi. Kusifia hadharani ni rushwa" ~Askofu Bagonza
Hamna vyanzo vingine vya mapato mpaka 'tukamue' wananchi?
We are already paying a lot of taxes na saiz dunia nzima iko kwenye economic crisis. Je, ni wakati sahihi wa kuongeza makodi.
Sasa hizi kodi za simu na mafuta zinatofauti gani na ile ya kichwa iliyofutwa wakati wa Mkapa?
Hoja inayotolewa ni kwamba "tumeongeza bei ya mafuta ili tupate fedha za kujenga barabara za vijijini"
My take: Kama hatuna budget ya kuendesha TARURA si turudishe barabara za vijijini/mitaa chini ya Local government? Dunia inaelekea kwenye decentralisation, sisi tuna centralize!
2/2 Wanadhani wao wana haki ya kutuamulia chochote na sisi hatuna haki ya kuhoji wala kushauri. Eti kwa sababu wana nia ya kutuletea maendeleo. Viongozi wana behave kama wafadhili wetu? Hata wafadhili wenyewe wa natamani kujua needs and wishes of the beneficiaries!!
1/2 Mambo yanayotokea. yana disappoint sana. Watawala hawashauriki, wana kiburi kwa sababu tumewapa mamlaka makubwa sana kikatiba.
Wanajua hata kubadili Katiba hatuwezi kwa sababu watunga sheria ni wa kwao. Unafiki na kujipendekeza vimekuwa sehemu ya utamaduni wetu.
2/2
4. Epuka matumizi mabaya ya media . Mtu unaongea na watu wa eneo 'Y' kuhusu mambo yao, kwa nini uwe mubashara kwenye TV ya taifa?
5. Acha kiburi na kuwaona wapinzani wako kama maadui.
6. Acha vitisho na kuwapa wananchi jukumu la kulinda amani. Wewe ndiye umepewa dhamana.
1/2
Ushauri wangu kwa wenye mamlaka:
1. Usipuuze matakwa ya unaowaongoza.
2. Usiwaweke wananchi kwenye mtihani wa kuchagua kati ya uhuru na maendeleo ( wanahitaji vyote)
3. Epuke hotuba ambazo hazijaandaliwa. Panga ratiba yako na uifuate.
@RealHauleGluck Wewe umetumwa au? Biswalo Biswalo!! Akiapishwa wewe unafaidika nini? Watu wanatoa hoja kwa nini hastahili kuapishwa wewe unakomaa na majina sijui Jumong. What kind of nonsense is this?