Eti mabroo hivi inawezekanaje ukaona notification ya WhatsApp imepop kwa juu lakin ukiifungua app yenyewe hukuti hio text au Tatizo litakua ni nn hapo msaada @WhatsApp@pastajoshuatz@iphonetz
Nimeona niandae tena treni la 2 ambalo odds zake ni kichele tumezilinda timu zote za uhakika kwa options 2 nitasave hii post ili nije nigawane na nyie hii hela usikae mbali repost ujiwekee dhamana @Samalentips ๐ญ๐ญ
Mm toka niambiwe wauza CODE wanalipwa kutokana na jinsi watu walivyoliwa wengi waliojisajili kupitia jina lake nlichoka saana๐ ๐๐
Au wengine wanaweka slips za kutengeneza kuonekana wamebet kumbe hakuna kitu๐ slips fakeโฆ
Kiufupi ni Utapeli kama Utapeli mwingine