@ESPNFC The problem is in the entire Germany football system, they abandon their identity and copy hybrid from Spain, Guardiola tactics affect Germany especially Bayern munchen, academy follow hybrid Spaniard style of playing ...klopp is going to change that
@George_Ambangil Huyu timu inaweza kumsajili kwaajili ya kuongeza depth tu, ukisema umtegemee huyu moja Kwa moja utafeli pakubwa...Ishu Yake ya kutofanya track back inaweza kusuluhishwa kirahisi tu
@njiwapori_ Wengine wanavumilika lakini wambulu na Wale wa Singida asilimia kubwa ni beans za mbeya, Hao niliowataja nawajua vizuri Sana tena Sana....Ukiishi nao hata vijijini n hivyo hivyo....
@George_Ambangil Cha kuwaongezea Tu, Arsenal wakiwa na Ile self belief msimu ujao wanaweza kuchukua kombe, sasa Utasikia wakianza kusema tumejitahidi hata hivyo kufika fainali si mchezo, hayo n maneno ya mentality ndogo, huwezi kusikia timu kama Madrid wakijisifu kufika fainali...
@George_Ambangil Tulishawaambia tayari, Arsenal Hana uwezo wa kumfunga PSG, hiyo aura Arsenal hawana, mpira unaweza kudhani kama Una uchawi sometimes, kombe kama la UEFA linahitaji aura kulichukua, self belief lazima uwepo, Timu kama United, Liverpool, Madrid Yale Matuta yote wanapata...aura
@George_Ambangil Hawachukui kombe hao, watapigwa vibaya Sana hao Arsenal, nyie tulieni kimya!, Arsenal Kwa PSG ni mbingu na ardhi, Hili wengine tushalisema Sana...hype za kiingereza ndio zinawapofusha macho