Salamu za Shukrani kutoka kwa Rais wetu Eng. Hersi Said @Caamil8 mara baada ya kupokea Tuzo kutoka World Football Summit [WFS] ya kuthamini mchango wake wa kuunganisha Vilabu vya Soka Afrika.
@WFSummit#TimuYaWananchi#DaimaMbeleNyumaMwiko
Mlidhani utani niliposema kuna wachambuzi wa radio fulani wamelipwa kutetea madudu ya Karia, jamii ya watu wa mpira wanajua na wana ushahidi 101%. Shida ya kuharibu vipindi vya michezo na kuongea kwa jazba sababu ni tiketi za ndege na hela za vocha. 📌
Kilichofanyika ni sawa na mtoto wa Mwalimu Mkuu kusema hataki kwenda shule, sasa Mwalimu Mkuu ikabidi afunge shule siku hiyo bila sababu ya msingi ili mwanae hasionekane hakuja shule!
Moja ya Marefa BORA kabisa kwenye Ligi yetu👏👏
Nikionaga Mechi Refa ni @ahmedarajiga huwaga nachukua zangu Popcorn 🍿 najua kabisa hapo kinachofanya kazi ni sheria 18 za Soka👏👏
Siyo tunakosoa tu, wakifanya vizuri pia tuwape Appreciation hawa watu✍️
Tunasubiri sana wakosee ndipo tuwakosoe lakini ukweli ni kwamba huyu ni moja ya MAREFA bora kabisa AFRIKA. Basi tu anatokea Manyara angekuwa anatokea ETHIOPIA au Afrika Magharibu basi tungekuwa tunampa sifa anazo stahili. Ukipenda mpira wa miguu utaheshimu weledi wa huyu jamaa, ila kama unapenda timu basi lawama za timu kukosa matokeo utatafuta kila sababu ya kumlaumu
Ukiona ni rahisi fanya wewe ili tujifunze kutoka kwako ila ukiona ni ngumu kufanya hakikisha unaacha kuzungumzia maisha ya wengine na jikite kwenye maisha yako.