Sometimes is not your prayers or your mother's prayers that is working for you. But the prayer of the souls you touched!
Be the reason why others are happy.
You are defined by your choices in life, your choices make you. If you choose something and later say “I had no option” then you are your option. We have no options because we only know what we think we know. Options are limitless, define yourself.
Kaa ukijua kuwa kuna mtu hukooooo anakuchukia balaa na hajawahi kukuona wala kusikia chochote juu yako, hakujui kabisa. Hii inakuonyesha kuwa fanya unalotaka na sio walimwengu wanalotaka kwasababu kuna waliojiandaa kukuchukia hata kabla hujafanya lolote. Karibu duniani.
Jambo lolote hata liwe gumu vipi linazungumzika na ukishalizungumza linajadilika na likishaanza kujadiliwa linameguka katika vipande zaidi ya kimoja na kutokuwa gumu tena. Una hiyari baada ya hapo kuokota kipande unachokimudu ama kuunganisha na kipande cha mwenzako muyajenge!
Don't worry about the pressure or the responsibility. Just live in it, have fun, and when everything seems to be going right, just stay humble and remember your family..#FamilyFirst❣️
I must learn to love the fool in me - the one who feels too much, talks too much, takes too many chances, wins sometimes and loses often, lacks self-control, loves and hates, hurts and gets hurt, promises and breaks promises, laughs and cries.#monster
#SikilizaTogolani "Kuweka akiba ya maneno ni pamoja na kukwepa kutumia maneno yenye kuhitimisha kama 'kamwe', 'asilani', 'daima', 'kila mtu' au 'wote'. Penda kutumia 'labda', 'pengine', 'huenda', 'kwa kiasi kikubwa' haya yatakupa fursa ya kujinasua mbeleni". Hekima ya Baba Mzazi