Badilisha mitindo ya maisha yako, Zingatia mambo ya fuatayo kwa afya yako...โ
- Epuka kutumia vyakula vyenye sukari, chumvi na mafuta mengi.
- Fanya mazoezi ya mwili, Usibweteke mwili choma, "bad cholesterol" Katika mwili wako,
- Usinywe pombe kupitakiasi, Epuka matumizi ya pombe kali, Kunywa maji kukata kiu nasio pombe au soda.
- Usitumie dawa pasipo maelekezo ya dakitari, kwa afya ya figo yako.
- Jali afya yako ya akili, Epuka uraibu wa kutizama video za ngono, Kusagana na upigaji wa punyeto,
- Fanya check up walau mara 2 kwa mwaka, hii itakusaidi kujuwa matatizo yaliyo jificha katika mwili,
- pumzika walau masaa 7-8 nimuhimu kwa afya yako ya akili,
Nb: Swala la kubadilisha mitindo wa maisha ni jambo la maamuzi nakufanyia utekelezaji zingatia afya yako, ASANTE SANA ๐
Kumbukumbu Magufuli TRA . Awaambia Maafisa TRA โbado hamjasema, Na mtasema akawaambia Tena Nataka msemeโ ๐ alafu namuona Mbalawa utadhani wa maaana
Kama mdogo wako alisoma HGL,HGK,HGE,HKL.
Kama O-level ana principle passes za Physics, Bios na Chemistry mwambie asiende degree kama uwezo wa kulipia diploma ya afya upo.
Kama haupo basi afuate tu mkopo chuoni ila hakuna faida ya degree ya izo comb kama hauna direct connection.
Depression inawaumiza vijana wengi sana hata wao hawajui tayari wapo ndani ya msongo wa mawazo....
Depression inarudisha nyuma maendeleo
Depression inaua
Kwasababu mtu anapitia nyakati ngumu isiwe kigezo cha wewe kumtumia kwa faida yako
Ukiona mambo hayaendi mawazo yamekujaa huna raha huna amani sali sana kwa Mungu,tafuta watu wa kuongea nao kamwe usijipe mawazo sana stroke na presha havitakuacha nyuma..wala usiwaze kujikatisha uhai
Ukipata nafasi ya kumsaidia mtu kimawazo au kiuchumi au kiroho mwenye stress za maisha fanya hivo
Dada anaye fanya kilimo kwenye eneo dogo la nyumbani leo kaweza kuvuna kwa mara ya kwanza ndoo 19 za hoho kwenye mfumo wa umwagiliaji wa matone Drip kit ndoo moja bei kwa sasa ni shilingi 7000 . Ametamani angekuwa na eneo kubwa kwani wateja ni wengi kuliko uzalishaji