Afya Bora ya mbegu za kiume inategemea sukari aina ya FRUCTOSE ambayo zaidi inapatikana katika Asali, Matunda na Mboga mboga .. Hvyo ni vizuri kuepuka sukari ya nyongeza kwa wanaume ili kuboresha afya ya Uzazi. @FestoNgadaya@allen_kaiza @afyamedia @afyainforx @daktarimtalii