@MsBrown_Tz@Kiganyi_ 26yrs kwa Me ni umri sahihi hata kwa ndoa, weka pembeni umri, mcheki kwa mambo mengine kitabia, ukiridhika, wekwa ndani.
Muda hakuna tena.
@Clinton75728311@MarekaMalili Alibisha sana eti 20m inamaliza nyumba na unahamia,nikamwambia labda ukate na Bima ya kuwenda spitali kila mara kwa vumbi la humo ndani.
@MarekaMalili Watu washazoea kudanganywa au kutapeliwa.
Huyo fundi wa kujenga 24m hiyo nyumba,mwisho wa siku atataka apewe hela akabidhi nyumba na mchezo unaishia hapo.
@BarakaMaviatu@RKishaija81715 Lakini watu wameelewa vibaya nadhani; Zanzibar ni nchi na kuna mambo sio ya Muungano pamoja na Afya.
Sasa ni hivi; Mtu kutoka bara hataweza tibiwa na Bima ya Zanzibar,ila atatibiwa kwa CASH au mfumo mwengine utakaokubaliwa na hospitali husika.
Ugumu uko wapi hapo?