#TANZANIA: HAKUNA KUTISHANA, HAKUNA KOSA LA KUZUIA UCHAGUZI, HATA WASEMAJE - LISSU
"Ni kwamba, hakuna kutishana, na vile vile hakuna kosa la kuzuia uchaguzi, hata wasemeje, halipo, wala la kuvuruga uchaguzi, halipo, hata wafanyaje sio makosa, tusibabaishane, wasitubabaishe" - Tundu Lissu, mtuhumiwa wa kosa la uhaini akizungujmza wakati anakusanya vitabu vyake Mahakamani mara baada ya kesi yake kuahirishwa hadi kesho.
Zaidi: https://t.co/KUeXVS6a4c