"Mimi sio muoga kwa sababu sina hatia"-@TunduALissu
-
Kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, imeendelea katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Dar es Salam ambapo shahidi wa tatu Aman Sam Golugwa Naibu Katibu Mkuu Chadema, Bara aliendelea kutoa ushahidi.

Katibu wa CHADEMA Kanda ya Kusini, Shija Shibeshi, amesema Tanzania inahitaji mabadiliko ya kikatiba yatakayowapa wananchi nafasi na uwezo zaidi wa kuchagua viongozi wanaowataka.
Shibeshi ameyasema hayo Agosti 19, 2026.
Mwandishi wa habari Alloyce Nyanda amesema Tanzania haiwezi kuongozwa kwa misingi ya “zamu za dini,” akisisitiza kuwa viongozi wanapaswa kuchaguliwa kwa kuzingatia uwezo, uadilifu, uchapakazi, maono na uwezo wao wa kulitumikia Taifa.

Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS), Wakili Boniface @Mwabuk2Boniface , kada wa CHADEMA Mchungaji Peter Msigwa na Gwamaka Mbughi ni miongoni mwa watu waliofika katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kufuatilia mwenendo wa kesi ya uhaini.

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), @TunduALissu , amefikishwa katika Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, kwa ajili ya kuendelea kusikilizwa kwa kesi ya uhaini inayomkabili.
Wananchi wa Mji wa Sirari, Wilaya ya Tarime mkoani Mara, wamechangia jumla ya shilingi 500,000 kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa ajili ya kuchangia maandalizi ya Baraza Kuu la chama hicho.
Mchango huo umetolewa jioni ya leo mara baada ya kumalizika kwa mkutano

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, @HecheJohn , amesema mama yake mzazi amekuwa na hofu kubwa kuhusu usalama wake kutokana na taarifa anazozisikia na kuziona kupitia mitandao ya kijamii.

Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, @HecheJohn , ameibuka na kukosoa Vikali kitendo hicho kilichofanywa na askari wa Jeshi la Polisi cha kutupa mzigo wa alizeti wa mkulima mtaroni, akisema hatua hiyo ni matumizi mabaya ya mamlaka

“Siri moja mheshimu aliye juu yako hata kama unaona umemzidi akili,” amesema Dkt. Biteko.
Ni miongoni mwa nasaha za Mbunge wa Bukombe na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, alizowahi kuzitoa kwa viongozi na wananchi kuheshimu walio juu yao.