Kwasababu Wengi Mlikimbia HISTORY wacha Leo Niwakumbushe 😂👇🏿 Hii Ni Mifumo ya Kiuchumi Duniani
1. COMMUNISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote na kukupa maziwa kidogo.
2. FASCISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote na kukuuzia maziwa kidogo.
3. SOCIALISM
Una ng'ombe wawili. Unamkabidhi mmoja kwa jirani yako.
Ili asiwe Omba Omba
4. BUREAUCRATISM
Una ng'ombe wawili. Serikali inachukua wote, inawachinja,
5. VENTURE CAPITALISM
Una ng'ombe wawili. Unauza mmoja, kununua fahali. Kampuni yako inakua, unaiuzia hisa kwa umma huku ukibaki na haki za kudhibiti ng'ombe wote wanne.
6. TRADITIONAL CAPITALISM
Una ng'ombe wawili. Unauza mmoja na kununua fahali. Kundi lako linaongezeka, uchumi unakua, unawauza wote na kustaafu kufuga unafanya Issue zingine
7. A FRENCH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unagoma, unaandaa maandamano, unaziba barabara kwa sababu unataka ng'ombe watatu.
8. AN ITALIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili, lakini hujui walipo. Unaamua kwenda kula lunch wala huwatafuti wakipotea sawa
9. A SWISS CORPORATION
Una ng'ombe 5,000. Hakuna hata mmoja Unayemmiliki wewe unawasaidia Watu kuwamiliki. Unawatoza wamiliki wake ada ya kuwahifadhi.
10. AN AMERICAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unamuuza mmoja na kumlazimisha mwingine kutoa maziwa ya ng'ombe wanne. Baadaye unaajiri mshauri kuchunguza kwa nini ng'ombe amekufa.
11. AN INDIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Unawaabudu na wanakuwa Mungu wako
12. AN IRISH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Mmoja ni farasi unamtumia Kwa starehe
13. AN AUSTRALIAN CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Biashara inaonekana nzuri. Unafunga ofisi na kwenda kunywa bia kusherehekea.
14. AN IRAQI CORPORATION
Kila mtu anadhani una ng'ombe wengi. Wanakwambia una ng'ombe wanne. Hujui ni wangapi kweli waliobaki kwa sababu hakuna anayeruhusiwa kuwahesabu. Lakini unajua fulani anachukua maziwa yote.
15. A BRITISH CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Wote wawili ni wazimu.
16. A GREEK CORPORATION
Una ng'ombe wawili uliowakopa kutoka benki za Kifaransa na Kijerumani. Unawauza wote kulipa deni la taifa, kisha unawakodisha ili kupata maziwa. Akaunti zinaonyesha una ng'ombe watatu, lakini kodi inatozwa kwa ng'ombe wanne. Unamuuza mmoja Ugiriki na wewe unaenda kunyoa nywele kwa faida.
17. A CHINESE CORPORATION
Una ng'ombe wawili. Una wafanyakazi 300 wanaowakamua. Unadai una ajira kamili yenye ng'ombe wengi, unaandika takwimu bandia, na yeyote anayeuliza maswali kuhusu hilo... anapotea.
Canada is looking for skilled health care and social service professionals—nurse practitioners, dentists, pharmacists, psychologists and social workers—to fill shortages in our health care system and provide essential services to Canadians!
If you have the training, credentials and experience in health care and social services we’re looking for, explore our immigration pathways and build your future in Canada: https://t.co/G3RYawcthL
@Abbymexahnk Yes lakini isiwe AMAZON DUBAI, kama US au UK tumia Ship & Shop Address ambao wanafanya kazi na Aramex bongo unapokea mlangoni mzigo wako
Kama umeajiriwa TAMISEMI…
Usishindane na wakulima kwa kulima.
Waachie wao wazalishe.
Wewe jenga biashara inayoongeza thamani ya mazao yao.
Hapo ndipo pesa nyingi huanzia.
It’s Thread Time…
👇🏼
Sheikh Walid:
“Ndio maana mara nyingi wale ambao hawaji maulidini wanasoma sana badae wanakuwa mawahabi(Salafi)”
NB:Sijakata kipande wala
Kuedit...nimeleta nzima nzima tumsikilize shekhe kipenzi wa Sufiyyah
Wachambuzi wa bongo 👉🏾 "Messi ile ni natural talent, Messi wenzie wanaweza wakawa mazoezini, yeye mara afunge kamba za viatu, mara awe anachezea simu, si mtu wa mazoezi sana na hapendi mazoezi, ila mlete uwanjani"
Huyo Messi mwenyewe sasa 👇🏾🤓
Wengi mmenifata dm mnataka kwenda ng’ambo kusambaza mkolofya
Fata hatua hizi
1. Kuwa na passport halali
Hakikisha una pasipoti ya kusafiria yenye muda wa kutosha (angalau miezi 6+).
2. Tengeneza CV ya kimataifa
CV iwe kwa Kiingereza, ionyeshe:
Jina na mawasiliano
Elimu
Uzoefu wa kazi
Ujuzi (mfano: ICT, uuzaji, udereva, welding, hospitality n.k.)
Vyeti ulivyonavyo
3. Chagua nchi kulingana na ujuzi wako
Nchi Kazi zinazopatikana sana
Canada Wafanyakazi wa viwandani, truck drivers, caregivers, IT
USA Hospitality, farm work, logistics, IT
South Korea Viwanda, electronics, welding, uzalishaji
4. Tumia tovuti rasmi za kazi
Canada:
Job Bank Canada (tovuti rasmi ya serikali)
USA:
Indeed USA
LinkedIn Jobs
USAJobs (kazi za serikali)
South Korea:
EPS Korea (kwa wafanyakazi wa viwandani kupitia mfumo rasmi)
WorkNet Korea
5. Jifunze lugha kidogo
Canada/USA: Kiingereza kizuri kinaongeza nafasi sana.
South Korea: Kujua msingi wa Korean (TOPIK Level 1–2) ni faida kubwa.
6.Epuka matapeli
Usilipe fedha nyingi kabla ya kupata offer letter rasmi.
Hakikisha kampuni ina website halisi.
Offer letter iwe na jina la kampuni, mshahara, aina ya kazi na visa sponsorship.
Kwa South Korea, tumia mfumo wa EPS au mawakala waliothibitishwa.
Makadirio ya gharama
Kitu Makadirio
Passport TZS 150,000–250,000
Police clearance TZS 30,000–50,000
Medical TZS 100,000–300,000
Visa Inategemea nchi
Ticket Mara nyingine hulipiwa na mwajiri
Byebye 🤝