@mwatika01 Kuna siku mwaka juzi tulienda Tandahimba, tukalala lodge flani pale mida kama saa nane usiku wakatimba wadau wanatisha vibaya wapo na 1HZ na A47 mikononi. Tukaamshwa wote lodge nzima wakawa wanakagua ID na daftari la wageni. Nilijifunza kutokuongopa majina siku ile.
@_edy03@SamataJr_12@jwise017 Kama aliuza nyumba Masaki bado unauliza yupo wapi? Hao ni Silver spoon kaka, hapa Tanzania ukiona mtu ana urithi Masaki maana yake Mbezi beach ndio balaaa zaidi.