Waziri Mkuu, Dkt. Mwigulu Nchemba, amewataka wahitimu wa vyuo vikuu nchini kutumia elimu na ujuzi walioupata kuanzisha shughuli za kiuchumi na kubuni njia za kutatua changamoto mbalimbali za jamii badala ya kutegemea ajira pekee.
Amesema mabadiliko katika soko la ajira yanawahitaji wahitimu kuwa wabunifu, kujiamini na kuthubutu kutekeleza mawazo yao, badala ya kukata tamaa wanapokabiliwa na changamoto.
Andon Iraiola a.k.a Akili mnemba ,huyu anaenda kufanikiwa hapo TASAF, anafanya kazi bila kupewa pressure, baada ya madirisha mawili tu atakuwa level nyingine.
Tayari ana first XI, ana identity anayotaka timu yake ichezaje
Alonso ,Paresca hawa ni Matapeli wakubwa
#mchambuzihuru
EU Deforestation Regulation (EUDR): Tanzania inaweza kupoteza soko la kahawa na kakao Ulaya?
1/6
Kuanzia 30 Desemba 2026, EU itaanza kutekeleza EUDR kwa makampuni makubwa na ya kati. Sheria hii inahitaji kahawa na kakao zinazoingia Ulaya zisihusishwe na ukataji wa misitu baada ya 2020. Mwaka 2023, EU ilinunua takriban 58% ya kahawa ya Tanzania. Tuko tayari?
2/6
EUDR inahitaji kujua mahali halisi mazao yalipozalishwa (farm geolocation), uhalali wa uzalishaji na historia ya matumizi ya ardhi. Hapa ndipo GIS, satellite imagery na mifumo ya traceability inapokuwa muhimu. Kahawa yenye ubora bila taarifa sahihi za chanzo inaweza kukosa soko EU.
3/6
Changamoto kubwa ipo kwa wakulima wadogo wa kahawa na kakao. Ni wangapi mashamba yao yamepimwa kwa GPS? Ni vyama vingapi vya ushirika vina taarifa za kidijitali zinazounganisha mkulima, shamba na mzigo unaouzwa nje? Bila maandalizi, gharama za kufuata EUDR zinaweza kuwa kubwa.
4/6
EUDR inaleta fursa za biashara kwa vijana wa Tanzania kwenye GIS farm mapping, remote sensing, satellite-based forest monitoring, traceability software na ushauri wa kufuata viwango vya masoko. Hizi ni huduma ambazo wakulima, AMCOS, wasindikaji na wauzaji wa mazao nje watazihitaji.
5/6
Tanzania inahitaji mfumo wa kitaifa unaounganisha taarifa za wakulima, mipaka ya mashamba, historia ya matumizi ya ardhi na biashara ya mazao. TCB, COPRA, AMCOS na sekta binafsi washirikiane kupunguza gharama za ukusanyaji wa taarifa na kulinda ushindani wa mazao yetu kwenye soko la EU.
6/6
EUDR ni suala la biashara ya kimataifa, teknolojia na sera za kilimo. Tusisubiri mizigo ya kahawa au kakao ikataliwe ndipo tuanze maandalizi. Tanzania inapaswa kuwekeza sasa kwenye farm mapping, traceability na uthibitishaji wa uzalishaji unaozingatia sheria.
• Wirtz goal & Szoboszlai assist
• Isak brace
• Alisson clean sheet and an assist
• Barcola top performance
• United, Arsenal and 115 Charges FC all winless this weekend.
Dream weekend for the LFC nation. Good night Reds ❤️
#HABARI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amemhamisha Gerson Partinus Msigwa kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwenda kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum.
Kabla ya uhamisho huo, Msigwa alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.
#EastAfricaTv #TogetherTunawakilisha