David Djumbe @daviddjumbe is again the target of Abdul and his chief enforcer Sumai as they are plotting to abduct him again and possibly harm/kill him!
This is what Samia Suluhu regime is good at - nothing else!
Hawa mashwaini wanachojua ni kuteka, kuua na kufunga! We Sumai siku yako imekaribia na Abduli wako! Achana na Djumbe
#SamiaMustGo
GENTLE REMINDER:* Tukutane nje ya Ubalozi, Washington, DC, October 23, 2026, 11:00AM.
We will hold a candlelight vigil in Washington, DC, at the *Tanzanian Embassy (Ubalozi wa Tanzania DC).*
Please save the date and share this message widely.
@Liberatus80#TanzaniaMassacre
Eti chama kimoja ambacho bado kinajitafuta.
Machawa wa wauwaji wanaita Chadema kusimamia matakwa ya wananchi kama kujitafuta.
Chadema ilijitafuta na kujipata mwaka jana baada ya kumchagua Lissu na Heche na kusimamia No reforms No elections mpaka mwisho……
@HecheJohn@ChademaTZ2 Please stand your ground. You are our last hope for Justice, New Constitution and Accountability….
Asilimia 90 ya ajali ni kwasababu ya miundombinu mibovu, barabara finyu, mashimo kila sehemu.
Maisha ya watu yanapotea, mali zinateketea kwasababu ya uzembe wa serikali ya ccm.
Wizi na ufisadi kwenye ujenzi na ukarabati wa barabara.
Leo wanajenga kesho imebomoka!!!!
From Ongea na Shangazi to Ongea na Kamamda 😁
Mmechanganyikiwa! Nani anataka kuongea na wauaji! Mnapenda kuigaiga tu 🚮
Confusion squared!
#TutaelewanaTu
The podcast will be available across multiple platforms, including Spotify, YouTube, SiriusXM, TikTok, Apple Podcasts, and our very own Mange Kimambi App available on Appstore and Playstore. It will also be available on Instagram through a page owned and operated by third parties.
The first 30 minutes of every episode will be available for free across the platforms listed above. The full-length episode, including the final 30 minutes, will be available to subscribers for just $1 per month on the same platforms.
The podcast will focus on politics, breaking news, and major events across Africa, bringing African issues to the forefront of global conversations.
We will give particular attention to the issues affecting Tanzania, including the heartbreaking events that have unfolded in the country.
We will host guests from across Africa and around the world, including politicians, activists, journalists, academics, experts, and other influential voices. Together, we will examine Africa’s biggest challenges, discuss possible solutions, and explore what can be done to build a better future for the continent where JUSTICE & DEMOCRACY & ACCOUNTABILITY PREVAILS.
The language of each episode will depend on the guest.
If the guest speaks Swahili, the episode will be conducted in Swahili and accompanied by professional English subtitles.
If the guest does not speak Swahili, the episode will be conducted in English with full Swahili.
As we prepare to launch, we will be announcing employment opportunities for key members of the team, including:
1. Producer
We are looking for an experienced producer who can help develop, coordinate, and execute the podcast from production through publication.
2. Political Adviser -African Affairs
We are looking for someone with extensive experience and deep knowledge of African politics.
This person’s role will be to continuously monitor political developments across the continent, identify important emerging issues, research major stories, and advise me on which issues deserve our attention and coverage.
This is a position that requires someone who understands African politics, regional dynamics, governments, opposition movements, elections, international relations, and the political forces shaping the continent.
We are bringing Africa to the conversation
SWAHILI
Podcast hii itapatikana kwenye majukwaa mbalimbali, ikiwemo Spotify, YouTube, SiriusXM, TikTok, Apple Podcasts, pamoja na App yetu wenyewe ya Mange Kimambi. Pia itapatikana kwenye Instagram kupitia ukurasa unaomilikiwa na kuendeshwa na wahusika wengine.
Dakika 30 za kwanza za kila kipindi zitapatikana bure bila malipo kwenye majukwaa yote yaliyotajwa hapo juu. Kipindi kamili, pamoja na dakika 30 za mwisho, kitapatikana kwa waliojiunga malipoya dola 1 tu kwa mwezi kwenye majukwaa hayo hayo.
Podcast hii itajikita katika siasa, habari za dharura, na matukio makubwa barani Afrika, ikileta masuala ya Afrika mstari wa mbele katika mijadala ya kimataifa.
Tutatoa umakini wa pekee kwa masuala yanayoathiri Tanzania, ikiwemo matukio ya kuhuzunisha yaliyotokea nchini humo.
Tutawakaribisha wageni kutoka kote Afrika na duniani kote, wakiwemo wanasiasa, wanaharakati, waandishi wa habari, wasomi, wataalamu, na sauti nyingine zenye ushawishi. Kwa pamoja, tutachunguza changamoto kubwa za Afrika, tutajadili suluhisho zinazowezekana, na kutafakari yanayoweza kufanywa ili kujenga mustakabali bora kwa bara hili kwenye HAKI, DEMOKRASIA na UWAJIBIKAJI.
Lugha ya kila kipindi itategemea mgeni.
Mgeni akizungumza Kiswahili, kipindi kitaendeshwa kwa Kiswahili na kuambatana na manukuu ya kitaalamu ya Kiingereza.
Mgeni asipozungumza Kiswahili, kipindi kitaendeshwa kwa Kiingereza na manukuu kamili ya Kiswahili.
Tunapojiandaa kuzindua, tutatangaza nafasi za ajira , zikiwemo:
1.Mtayarishaji (Producer)
Tunatafuta mtayarishaji mwenye uzoefu atakayesaidia kubuni, kuratibu, na kutekeleza podcast hii, kuanzia
Lengo ni vyote viwili, kuamsha watu, kutoa elimu na kutengeneza pesa… Nimeamua kuishi maisha halali so lazma kazi nayofanya iweze kunilisha ila pia sitaki tena kwenye maisha yangu kufanya kazi inatayoteka akili za Watanzania na kuwaingiza upumbavu wa Umbea mambo ya kipuuzi, nataka nifanye kazi ambayo itawa keep Watanzania kwenye siasa na mambo muhimu ya nchi yao.
Leo #MariaSpaces tunajadili: MO29 na #FreeTunduLissu - Tunataka Ushauri wa CCM ?
Tunaona CCM wakishauri jamii, Chadema na kila mtu kuhusu maridhano na kuweka masharti Lissu aachiwe - je tutapokea ushauri wowote au tunabaki na msimamo wetu! Bado siku 21 tujipange!
Leo saa 2 uck
Rais Haramu
Waziri Mkuu Haramu
Makamu wa Rais Haramu
Baraza la mawaziri HARAMU
Bunge Haramu
Hamjapigiwa kura na mtu yeyote
Tarehe 29 mli SHUT DOWN the country! Dunia iliona na international observers waliandika ripoti wote walisema hakukuwa na uchaguzi
Matokeo ya kutunga
Nyie mme PORA mamlaka kwa mtutu wa bunduki na mko kinyume cha sheria katiba
Ni HARAMU!
Acha ikae hivyo
Hii ilikuwa ni siku ya birthday yangu ya mwaka huu, March 4th 2026.
Sikutaka hata kwenda dinner, watoto na baba yao wa kambo waliniomba sana wanitoe dinner ili nipoteze mawazo.
Ila Keanu aliponiambia ni make a wish, nikairudisha meza nzima kule kule walipojaribu kunitoa angalau kwa siku moja, TANZANIA……..
Nikilala, nikiamka, niki smile, nikinuna, nikilia, sina nachowaza zaidi ya Tanzania kuwa free, free kuamua muelekeo wa nchi yao kwa kuweza kuchagua viongozi wao, free kuweza kuchagua wabunge wao, Rais wao na chama chao cha siasa na sio kundi dogo la majizi na wauwaji kuwalazimishia viongozi.
And most importantly, naiwaza siku roho zilizodhulumiwa October 29 zitapata haki. Naiwaza siku Tanzania itapata katiba mpya, naiwaza siku Tanzania kwa mara ya kwanza itafanya uchaguzi huru na wa haki. Eeh Mungu niweke hai nishuhudie hii siku. Nahisi nitalia mpaka nizimie kwa furaha……
Nimeikata video maana muendelezo wake hata Elon angenifutia account leo sababu ya nilichosema juu ya kimama, nilitema nyongo.
@MariaSTsehai Wanaojiona wao hawawezi kupata mitihani ndio maaana hata wakiumwa wanaficha ial Mungu yupo ukatili mnaotufanyia mtaulipa kwa njia yoyote ile aitakayo Mungu
Machawa wanahaha yaani video ya kimama kinaongea na IPU uso umevimba kama amemeza hamira wanasema ni OG ila ya wazimbabwe ni AI 🤣
Tukate mzizi wa fitna
Kimama kiibuke Arusha akae hapo siku nzima tumwone anadunda na mzina!
Nje ya hapo tunachojua ni kuwa anaumwa! 🤣
Mtoeni kimama chenu hadharani! Shida nini?