Sababu 3 Zinazoufanya Muungano wa Tanzania Kuwa wa Kipekee Afrika πΉπΏ
1οΈβ£ Umejengwa kwa hiari na umedumu kwa zaidi ya miaka 60 kwa amani
2οΈβ£ Mfumo wa kipekee wa Serikali mbili ndani ya taifa moja
3οΈβ£ Umejenga utambulisho imara wa βMtanzaniaβ
Muungano si historia tu, ni nguvu yetu.
ππππππππππ πππ πππππ ππ πππππ πππ, πππππππ
ππ»Jumla ya Megawati 50 kuingizwa kwenye Gridi ya Taifa ifikapo Machi 1, 2026
ππ»Shilingi bilioni 118.6 zatumika katika ujenzi kwa awamu ya kwanza
ππ» Maandalizi ya awamu ya pili (MW 100)