Maisha siyo nukta… ni koma.
Mazungumzo na Sebastian Mwaikambo kuhusu uanaume na mapambano ya kimya ya wanaume.
Wakati mwingine nguvu ni kuendelea tu ku-survive.
https://t.co/ranOvp3Bai
RIP Captain, I have fond memories and the utmost respect for you and your genuine spirit. Mungu ailaze Roho ya Marehemu mahali pema peponi. Poleni Jahazi, poleni Clouds, poleni Wana tasnia, poleni wananchi.
Timu kutoka @azamtvtz wamefika leo kwenye shoo ya mashabiki nambari moja Afrika Mashariki na kati #KipengaXtra ya #EastAfricaRadio na ujio mpya wa tamthilia kali #Barbarossa, hii si ya kukosa lipia kisimbuzi chako mapema au fika kwa mawakala wa azam kwa taarifa zaidi.
Cc. @van_msumi @gharib_mzinga23 @mrisho.senga_ @sebathewarrior
#TogetherTunawakilisha #KipengaXtra #EastAfricaRadio #AzamTVBurudaniKwaWote
#KIPENGAXTRA Timu kutoka @azamtvtz wamefika leo kwenye shoo ya mashabiki nambari moja Afrika Mashariki na kati #KipengaXtra ya #EastAfricaRadio na ujio mpya wa tamthilia kali ya #TheGoldenBoy pamoja na #Barbarossa hii si ya kukosa lipia kisimbuzi chako mapema au fika kwa mawakala wa azam kwa taarifa zaidi.
Cc. @van_msumi @gharib_mzinga23 @mrisho.senga_ @sebathewarrior
#TogetherTunawakilisha #KipengaXtra #EastAfricaRadio #AzamTVBurudaniKwaWote