@a_madembwe Hivi kwa maendeleo ya tecnology hadi sasa kweli serikali yetu inaishindwa kupata taarifa za watu kama hawa,mimi nilizani kupiti finger print unapata taarifa zote haina hata haja ya kuhangaika
Ni wakati sasa kuanza kutumia mifumo hiyo kutambua taarifa za watu
@BMushison Kuwa taita haitamsaidia zaidi zaidi anaweza kujikuta kaingia matatizo kwa kununua mali ya uwizi na yeye ndiye akawa mtu wa kwanza kusaidia polisi
@GiliadiSumary@George_Ambangil@Cantonadevils Huwezi kuwa bench wormer kama una perform vizuri pili team msimu ujao inashiriki mashindano mengi kwahiyo kinahitajika kikosi kipana siyo kauka nikuvae
@gambasaidi@HecheJohn Misaada yao mnapokea tena hadi kwa kuwategemea kabisa lakini wakihitaji kuja kuona namna misaada yao inafanya kazi hapo ndiyo mnajiita nchi huru mara bunge la nchi fulani sijui limefanya nini
Fun Fact, Sanchez toka aje ucheisiini kwetu hajawahi fungwa goli tatu kwenye mechi moja na hajawahi fungwa freekick katika career yake
Most improved player
@AnthonChaz Ukweli ni kwamba binadamu tumeubwa tofauti na kufikiria tofouti pia kama tungefanana kwa kila kitu dunia isingifike hapa na hata hii platform isingekuwepo
@SwahiliRealTalk Kaka kama ulikuwepo kipindi hicho basi punguza matumizi ya chumvi na sukari kwenye chakula 😁😁😁
Hawa vijana unawasimulia vitu ambavyo wanaona kama hadithi lakini ndiyo ukweli huo
@TillahBlessed Kwamba usipo mwambia saa hizi ni saa ngapi au leo ni siku gani hawezi kufariki? Kila nafsi inamuda,wakati,na siku ya kufa. Haitapita au kuzidi hata sekunde moja wakati ukifika
@EsirEid Wahusika wa kufanya hayo maamuzi ni wamiliki wa hayo malori ya usafirishaji wakifanya hivyo unavyoshauri watakosa namna ya kupata pesa na hawapo tayari kupisha na gari ya mshahara
If we go past the mighty Southampton, I want Manchester City in the final to revenge Carabao
On the other hand Liverpool have knocked Manchester City out of the FA Cup in the last 3 times they have played each other.
Beating Liverpool will not be easy if they go past City 😭😭